Matingi litikiti
Member
- Apr 26, 2016
- 64
- 25
Kwa nini mimi sipendi jua b'ze, huwa nalichukia sana jua pindi linapowaka hii ina maana linanikosesha biashara yangu ya MIAVULI kuuza, kwani week hii biashara ilikuwa mzuri kwa siku nauza miavuli 100 nawapa wamachinga wananiuzia na kupata faida tele kwa tele. Jua nenda zako Bwanaaaaaa.