Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,360
Baada ya hapo watanusa.
na upepo hakunaaa.
Sababu wewe ndio kamchezo kako basi unajua kila mtu!Baada ya hapo watanusa.
Baada ya hapo watanusa.
na upepo hakunaaa.
Baada ya hapo watanusa.
Baada ya hapo watanusa.
Kiboko ya hii kitu ni pale inapokukuta kwenye presentation! Wee! Usiombe! Utakavyojikaza kuzuia mkono usiende huko!na upepo hakunaaa.
Umesema Mkereketwa! Hii kitu inanifanya nichukie sana nyama-choma!Kuna haja ya kunusa tena hapo, si ni mavi yake? Hapo kinachofuata ni kukata nyama na kuwapikia chakula familia yao bila hata kunawa. Atanawa tu baada ya kumaliza kupika, hatari!
hebu tupe uzoefu...Kiboko ya hii kitu ni pale inapokukuta kwenye presentation! Wee! Usiombe! Utakavyojikaza kuzuia mkono usiende huko!
coz ni mzungu au?:yell:wa kwanza ndio noma ila wa pili ni kawaida tu..
Umesema Mkereketwa! Hii kitu inanifanya nichukie sana nyama-choma!