Kuanzia leo, wewe tajiri BOSSKama picha zake zinavyoonyesha wakuu,,, naomba kujuzwa hili jiwe linaweza kuwa ni madini ya aina gani!? Maana lina vitu vinavyo ng'aa ng'aa.
View attachment 1977472View attachment 1977473View attachment 1977474
Wanaita folish Gold ni aina flani ya copper ni nyingi Sana katika central Tanzania creton hasa manyoni kuelekea Dodoma na kahama pia kuelekea nyarugusuKama picha zake zinavyoonyesha wakuu.
Naomba kujuzwa hili jiwe linaweza kuwa ni madini ya aina gani!? Maana lina vitu vinavyo ng'aa ng'aa.
View attachment 1977472View attachment 1977473View attachment 1977474