Hili jina limenishinda kutamka

Na haya majina mwembe Zenji ndio hatari
1. Mwembe beni
2. Mwembe mimba
3. Mwembe tayari
4. Mwembe hatari
5. Mwembe ladu
6. Mwembe mchomeke
7. Mwembe makumbi
8. Mwembe madema
9. Mwembe ki.papuchi
10. Mwembe togwa
11. Mwembe mdogo
12. Mwembe shauri
13. Mwembe dezo
 
Kuna watu wana majina magumu ila kuna sehemu pia kuna majina ni magumu aiseee, last weeek nilikua Tabora, kuna Wilaya moja kuna sehemu inaitwa "Shamba la Nyege", sasa mimi ndio nilikua Facilitator, wakati wanajitambulisha si ndio Mshiriki mmoja akasema anatoka Shamba la Nyege?? Duh nilichoka aiseeeee, mwezi uliopita nikafika Bukoba pia sehemu inaitwa Katerero, aaagh nikachoka, sidhani kama kuna sehemu nyingine zenye majina magumu zaidi ya haya.
Kuna kijiji kinaitwa MKAZAMBO kipo Kilwa mkoa wa Lindi
 
Na haya majina mwembe Zenji ndio hatari
1. Mwembe beni
2. Mwemne mimba
3. Mwembe tayari
4. Mwembe hatari
5. Mwembe ladu
6. Mwembe mchomeke
7. Mwembe makumbi
8. Mwembe madema
9. Mwembe ki.papuchi
10. Mwembe togwa
11. Mwembe mdogo
Mfereji iwa Wima
 
Chimbaunye
IMG_20170311_093524_096.jpg
Hii nimeipiga mwenyewe
 
Hahahahah napafahamu Kijito Upele, pale nimekaa sana
Unaweza kupacheki kwa Google Map
Google Maps
No google maps needed, thanks.
Nimekaa sana zenji.
Kisima majongoo
Kwahani
Kwaalamsha
Miembeni
Kwaalinato - niliwahi jiuliza huyu jamaa ndio muasisi wa NATO au
 
Back
Top Bottom