Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 57,797
- 92,257
Kuna watu wana majina magumu ila kuna sehemu pia kuna majina ni magumu aiseee, last weeek nilikua Tabora, kuna Wilaya moja kuna sehemu inaitwa "Shamba la Nyege", sasa mimi ndio nilikua Facilitator, wakati wanajitambulisha si ndio Mshiriki mmoja akasema anatoka Shamba la Nyege?? Duh nilichoka aiseeeee, mwezi uliopita nikafika Bukoba pia sehemu inaitwa Katerero, aaagh nikachoka, sidhani kama kuna sehemu nyingine zenye majina magumu zaidi ya haya.