Hili jibaba halina aibu!!!

Hili jibaba halina aibu!!!

Hivi huko si ndio kuna Sharia huko,haifanyi kazi siku hz?
 
Ila ostaz nae kama kamwelewa fulani
Hahah wanajuana kwa vilemba,huu usemi haumaanishi lazima wote wavae vilemba ila ni kule kufahamiana kwa urahisi matakwa yao.

Hapo kampiga kile kibao cha mgongoni kwamba “poa basi baadae” na huyo inaonekana hakumuacha.
 
Wanawake, tukidate na wenzenu watatu au wanne mtuelewe. Wanaume tumebaki wachache mno!
Msisingizie, hao watatu wanne wamekutongoza si wewe umewafuata kuwatongoza...tamaa tu hamna lolote
 
Msisingizie, hao watatu wanne wamekutongoza si wewe umewafuata kuwatongoza...tamaa tu hamna lolote
Muwahurumie wanawake wenzenu na muelewe namna tunavyokuwa waungwana kuwasitiri wenzenu, fulu stopu.
 
Back
Top Bottom