Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,203
Wew uko tayari kukata kiuno kama sio nyonga ili upate pesa?kumfurahisha maustaadhi apate
Wew uko tayari kukata kiuno kama sio nyonga ili upate pesa?kumfurahisha maustaadhi apate
Katika kundi hilo kuna wenye HIV kama 8 hivisasa hivi inatakiwa niwe na wanadada kama 10 wapenzi wangu fixed plus michepuko 20+ ili kuweka sawa ratio
Nakwambia, kukata kiuno in the wider interpretation, essence yake ni kufanya yasiyostahili ili upate mradi wako/mkono uende kinywani. My point is, kama watu hasa wateule wa Jiwe and CCM wanafanya yasiyostahili ili wapate kuteuliwa, wapate vyeo, wapate mkate wao , wana tofauti gani na anayekata kiuno? Mimi siko kwa Jiwe, siwezi kufanya yasiyostahili ili nipate kuteuliwa, siwezi kukata kiuno ili nipate pesa. Napinga yoteWew uko tayari kukata kiuno kama sio nyonga ili upate pesa?
Wakuwaoa ndo sisi mnaotudharau na vibamia vyetu[emoji3] [emoji3]Sijui tutaolewa na kina nani kwa mtindo huo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nipoSijui tutaolewa na kina nani kwa mtindo huo[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole utamtukana pasaka ikiisha, ila na wewe usiwe unawasha data siku kama hizi[emoji23][emoji23]Huyo jamaa kesha niharibia pasaka yangu..!! Hizi post nyingine jamani muwe mnatoa siku zisizo kuwa za baraka, mnaona sasa nimeshindwa kumtukana..
Na n kwako tu yan ndo ya kwanza na ndo ya mwisho Na naamin itanasa hapo hapo nnapotakaIwe kwangu tu maana ukiendelea kuirusha kwingine utanasa samaki wa sumu buree.
Ndio maana wanawake hatuolewi kwa sababu waoaji wenyewe ndo kama hao wanapungua siku hadi siku, eee mungu wangu okoa hawa wanaume.Yaani wanaume sikuhizi Sijui wamepatwa na nini.....wengine mashoga wengine mboo hazisimami vizuri wengine hazisimami kabisaaaa yaani vurugu mweeeeeeh
Location pleaseKaribu kwetu