Microsoft JF-Expert Member Mar 18, 2011 623 366 Mar 15, 2016 #3 Hii picha kawapiga polisi mwenzio inaonekana..naona maboksi ya vifaa,safi kabisa,ujambazi unawatoa kamasi
Hii picha kawapiga polisi mwenzio inaonekana..naona maboksi ya vifaa,safi kabisa,ujambazi unawatoa kamasi
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,809 34,193 Mar 15, 2016 Thread starter #5 WANtEd86 said: Liko wapi mkuu??? Click to expand... Mkuu ninakuona huna Macho picha pia hauioni? Vaa miwani utaiona hiyo picha hapo juu.
WANtEd86 said: Liko wapi mkuu??? Click to expand... Mkuu ninakuona huna Macho picha pia hauioni? Vaa miwani utaiona hiyo picha hapo juu.
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Mar 15, 2016 #8 Bado watanzania tuna safari ndefu sana ili tufanikiwe!!