Hili jambo mwenzenu limenishinda kabisa

Hili jambo mwenzenu limenishinda kabisa

Kabla sija changia hoja naomba nikuulize swali....
Je umeolewa?
 
zamani ilikuwa kawaida as long as nipo room la peke yangu au nipo na mchumba maana hata kipindi tunaenda kuoga mtoni ilikuwa kudiba na boxer noma so unavua zote afu unadumbukia mtoni ila siku hizi hata niwe na show ya maana lazima baada ya ruti kadhaa nivae walau bukta la kulalia na panga liwe chini ya kitanda, usalama kwanza.
 
sasa mimi nalala naked bila tabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi JKT mi wakati wa kulala nilikua napata tabu navaa nguo za ndani tu pitshort na greenvest ntavaa asubuhi katika harakati za kukimbia kutoka angani
Kwahiyo umepita jeshini[emoji23][emoji23]
 
Kulala uchi kwangu ni big no ata kulala wawili njinsia mbili sipendi sana
 
Kwa niaba ya wageni!!

Kwanza kabisa faida ambayo huwa naipata napolala uchi wa mnyama huwa napata usingizi mnono hatari na usio na mawenge.

Nanakuwa huru sana katika maungo yangu ya chini yanaopigwa hewa yakutosha.

Japo sijaoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom