Hili jambo mwenzenu limenishinda kabisa

Hili jambo mwenzenu limenishinda kabisa

Unajua sisi wanaume tunalala nusu nusu anytime ukisikia kitu unainuka haraka unachukua silaha na kuanza survery ndani na ikiwezekana nje pia. So ulalaji wetu ni nusu nusu sana.ndo maana nashindwa lala uchi.mbwa wangu wakibweka sana naamka na kuanza kwenda wauliza kuna nini.nao wananipeleka kwenye issue.

Hujajua Raha ya Kulala Uchi Usiku na Umpendaye.
mimi iwe niko na mtu niwe mwenyewe kulala na nguo kwangu ni kazi labda kwenye siku za lazima tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi inakuwaje mtu analala uchi wa mnyama?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kulala watupu ni changamoto huaribu family [emoji128] plan, mtazaa mpaka mkome

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe kweli chizi maarifa utalala vip.na boxer hizo sehemu nazo zinahitaji hewa co kuzibanabana saa zote kama huwezi kulala uchi vaa pajama au sarun lkn bila kitu ndan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi lala uchi sio utamaduni wetu wanaume

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ila tuacheni masiara kulala uchi ngumu Sana kwang Mimi sio boxer navaa jinsi kabsa na mkanda kwan nipo single nilale uchi ili iweje labda kwa Wanaume wa Dar es salaam na kinondoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua sisi wanaume tunalala nusu nusu anytime ukisikia kitu unainuka haraka unachukua silaha na kuanza survery ndani na ikiwezekana nje pia. So ulalaji wetu ni nusu nusu sana.ndo maana nashindwa lala uchi.mbwa wangu wakibweka sana naamka na kuanza kwenda wauliza kuna nini.nao wananipeleka kwenye issue.

aiseee

Hii ipo sex kweli mwanaume uamke asubuhi uniulize darling ulisikia jana usiku? Si unalala mpaka nikuamshe mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabachela tinawashangaa humu mnabishana boxer vs uchi wakati mimi kuna siku nililala nimevaa hadi na tai nilikumbukuka kuvua viatu tu.
 
Hii kama Mimi siwezi kulala uchi na sijawahi daily nikiwa na wife ananimind tabia ya kulala na bukta namwambia mi siwezi kulala uchi nikishamaliza kumchapa mkuyati lazima nitafute boxer/bukta yangu nivae nilale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom