Hili jambo mwenzenu limenishinda kabisa

Hili jambo mwenzenu limenishinda kabisa

Nimejitajidi sana, nimejaribu sana ila imeshindikana. Maisha yangu yote sikuwahi na sitowahi lala uchi. Lazima nilale na boxer. Nimeshangaa kuna watu wanaweza.

Ila mchana naweza shinda bila nguo hata moja bila shida, nyumba nzima ntazunguka bila nguo. Ila usiku mwenzangu sipendi alale na nguo hata moja. Ila mimi nalala na boxer.

Nyie wengine mliofanikiwa hili mlianzaje?naona ni suala gumu sana.
Yaani we ni sawa na mimi hata unifanyeje lazima ni lale na T-BETTER angu
 
Nimejitajidi sana, nimejaribu sana ila imeshindikana. Maisha yangu yote sikuwahi na sitowahi lala uchi. Lazima nilale na boxer. Nimeshangaa kuna watu wanaweza.

Ila mchana naweza shinda bila nguo hata moja bila shida, nyumba nzima ntazunguka bila nguo. Ila usiku mwenzangu sipendi alale na nguo hata moja. Ila mimi nalala na boxer.

Nyie wengine mliofanikiwa hili mlianzaje?naona ni suala gumu sana.
Ukioa utaweza
 
Kuna kitu umekumbuka ..... Ninong'oneze basi dear.... Na mie Nicheke kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Okey my dear nitakunong'oneza na nikukumbushe, maana nilitegemea lazima nikute post yako kwenye huu uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee Mimi pia kulala naked nikiwa mwenyewe siwezi kabisa ...yaani siwezi hata kulala na mwenzangu huwa nalala na boxer pia

Sent using Jamii Forums mobile app

sasa mimi nalala naked bila tabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi JKT mi wakati wa kulala nilikua napata tabu navaa nguo za ndani tu pitshort na greenvest ntavaa asubuhi katika harakati za kukimbia kutoka angani
 
kulala uchi kuna attaract majini mahaba ya kiume au ya kike hasa ukiwa na janaba yaan umemaliza kuchapana zen unalala hivyo bila kuoga ile harufu inawavutia so ni vyema kupata udhu uvae ata boxer ndio ulale
 
Utakuja kukumbwa na majini ,mashetani,demons,sprits,haunted soul,vibwengo ,ccm nk Ila serious lala na pajama au hata naiti dress

haviwezi kunikumba before sijalala nasali kwanza

nikilala na nightdress au pajama siwi comfortable
 
Safi sana!! Mwanaume kulala uchi ni umama!! Gafla mmevamiwa inakuwaje hapo na wewe utatoka na Mkushtiki wako ? Kulala na umpendaye kazi ikiisha unaweka lock!! Kumbuka mwanaume ni mlizi Boxer ni silaha!! Siku ikikuuta utajatuaambia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena usijaribu kulala uchi siku utashangaa mtu asieonekata kotoka katika kina cha giza anakupuliza matakoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom