Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
- Thread starter
-
- #161
Acha matusi utakuwa kichaa siku moja wewe shauri yakoSasa Utoe picha Yangu Kwa sababu gani?
Kweli Kudate na watu Vichaa nimekoma ili fundisho kwangu
Sawa nimeacha ila Mambo ya Privacy yaishie huko Sio lazma uamike picha hapa..Acha matusi utakuwa kichaa siku moja wewe shauri yako
Gari limeshachoka halihitaji hata kwenda garageKwa hiyo,ametumika sana! Sana tu? Sana sana? Dah!!!
Nitakuamini ukiweka wajihi wake hapa.Sio mwnaume ni mwanamke na nishajifanyia Yangu amini ninachokuambia
Ila Ume juaje mkuu😆😁😁Ye ni mweusi mnene mnene hivi
Shida ni kwamba uko selective sana bado utaendelea kuwepo sanaSio nimekosa mtu ila naona mtu anakuoa kisa ameoa tu mke wawatoto sasa
Kwani age imesonga sana Unique?Nawaza nilitupia wapi bikra yangu
Hapo thatha...😂, ila how come mwanaume ufikie hatua hiyo to pretend be woman and mind consumed with that wacky thinkingMna uhakika dada mau ni mwanamke? Isijekua ni mwanaume anatuchezea akili...
Ila una make sense, so unamaanisha wote Ke/Me tunapokuwa on ''bed chaos'' tuwe na akili mbili kwamba uthamani upooo au ndo having fun to the fullest without regret later na mtu ujiandae kuwa uthamani upo (ndoa) au just for fun. But utajuaje uthamani upo au unatumiwa zingatia kuna pretending on both parties?Japo uelewi ukija kuwa muelewa utajuta kukigawa sina stress nanani kakuambia huyu uliyenaye hakutumii kwa faida zake .?? Eh mie nakuambia ukweli kama wewe ni ke jua me anakufaidi ndio maana upo naye kama ni me jua ke anakutumia kwa kiasi fulani hujui lolote kuhusu kuivunja hii amri saivi huenda unaona mie chizi ila ipo siku utajua kuwa mie sio chizi
Hapana ila najutaga tuKwani age imesonga sana Unique?
How comes wewe ni mwanamke halafu unaonea watu wivu na wewe ndio shida yakukosa mume maana uliye naye kakuchoka mbeya mnafiki umeshindwa kustahimili wivu na rohi mbaya kila siku una id mpya ili ukashifu wenzako mind your shit not other people s business huwezi kuwafanya watu waishi utakavyoo tutaishi utakavyo naninakujua unapenda sana kuwalazimisha watu wawe character uipendayo wewe mf. Unaniambie mie mwanaume mara mie mlevi sijui hivi vile faida ipo wapi na hulipwi kila id ya kike wewe yakiume wewe sijui shida niniHapo thatha...😂, ila how come mwanaume ufikie hatua hiyo to pretend be woman and mind consumed with that wacky thinking
Yes, it's trueIla una make sense, so unamaanisha wote Ke/Me tunapokuwa on ''bed chaos'' tuwe na akili mbili kwamba uthamani upooo au ndo having fun to the fullest without regret later na mtu ujiandae kuwa uthamani upo (ndoa) au just for fun. But utajuaje uthamani upo au unatumiwa zingatia kuna pretending on both parties?
Usiwe negativity kuwa positiveShida ni kwamba uko selective sana bado utaendelea kuwepo sana
Sikatai yes but hi mesage nimewastua tuHuyu anahitaji ndoa. Fuatilia thread zake
Kwan k imetanuka sana?
Sijui ni wanawake hawa hubadili ID nakudis wenzao ili waonekane sio ila hawajui hatumindIla kuna binadam sijui wanafikiria nni aisee
Kwani tunauza nini??Njoo inbox ,nikuone ulivyo ndugu
Uyo binti Ni ke 100% [emoji4]Mna uhakika dada mau ni mwanamke? Isijekua ni mwanaume anatuchezea akili...