we unataka kuchukua hatua zipi? sorry kama ntakua nmekuoffend mkuuAta akitulizwa alikuwa akiendelea kutoa maneno Yale makali naona alikuwa ameadhimia
Tayari nina mchumba ambaye ndo huyo mama alikuwa hamtakikitu kingine hujasema kama umeolewa au kama una mwanaume ambaye ni mpenzi/ mchumba wako huyo ndo wa kuwa nae karibu akusaidie kisaikolojia utulie.
Ahsante mpendwaWe unadhani akupendi ila u kweli anakupenda sana isupokuwa shetani mara nyingi anatafuta sababu angekuwa hakupendi asingekulea mpaka hapo ulipo wenda kuna kitu kinamsumbua ambacho ashidwa kukusamehe ongeza upendo kwake
Shukrani sana ushauri niuzingtiaPole sana kwa hili.
Machozi yako yametosha kuwa adhabu kwa mama yako mpaka amekutaka radhi na kuhitaji muishi kama zamani.
Usiiwaze sana kauli ya kilio chake, tambua kwamba kwa sasa yeye ni mama yako hana mbadala kwako na yeye hana mbadala kwa upande wako pia.
Ujumbe wa machozi hueleweka mapema sana,msamehe mama yako.
Mama amempoteza mtoto anmbaye ni kipenzi kwake na aliyebaki hana maelewano naye ,kama wewe ndo ungekuwa mama ungejiweka kwenye kundi lipi?
Tafadhali msamehe mama yako haraka iwezekanavyo ili nafsi yake iwe huru akutizamapo.
Hii ni itilafu ya kibinadamu isikufanye umuhukumu mama daima na kutoishi kwa furaha na amani.
Ipumzishe roho yako na roho ya MAMA YAKO kwa kumsamehe.
Ni wakati wako kumuonesha mama kuwa vile akufikiriavyo sivyo.
Prove your mother wrong for lovely words during this trying time.
Be like a strong wall.
Strong wall shake but don't collapse!
Ahsante sana nitazingatiaUlikua ni uchungu tuu ukichanganyika n hasira ya kupoteza akipendacho ndo maana akatamka hayo maneno sio kwamba hakupendi alikua anatafuta jinsi yakujipooza moyo ndo maana amekaa akatafakari na kujuta na akakurudia. Ingekua hakupendi kabsa asingekuja kuomba msamaha. Cha msingi na ww jitafakari umsamehe maana angekua anakuchukia angekutoa toka u mimba, amekulea mpk hivyo ulivyo japo changamoto zipo nyingi. Mwisho majaribu tumeumbiwa binadamu.
Nitafwata watu walivyonishauri nitajifunza kumsamehe kwasababu yote na yote amenipa zawadi ya kunileta duniani.we unataka kuchukua hatua zipi? sorry kama ntakua nmekuoffend mkuu
kwa huo uamuzi hongera sana mkuu you got ma blessNitafwata watu walivyonishauri nitajifunza kumsamehe kwasababu yote na yote amenipa zawadi ya kunileta duniani.
achana na bwana akoHabari zenu jamani
Katika familia yangu tumezaliwa wawili Mimi nikiwa ndiye mtoto wa kwanza alafu akafwata midogo wangu ambaye tayari ni marehemu mwezi sasa umepita.....nimebaki Mimi na mama yangu baba alishafariki miaka imepita.
Kabla ya mdogo wangu kufariki alikuwa ni kipenzi cha mama sana hilo halikuwa linanisumbua niliona kawaida sana pia hiyo ilitokana na mahusiano ya mpenzi niliekuwa nae mama hakumpenda sana jambo hilo lilifanya Mimi na mama yangu tusiwe na maelewano.
Kitu kilichokuja kuniumiza na nimuone mama tofauti ni siku mdogo wangu alipofariki mama alikuwa akilia wa nguvu na huku akilitaja jina la mdogo wangu na Mimi.......nanukuu( BORA USINGEONDOKA WW KIPENZI CHANGU ANGEONDOKA DADA YAKO (yani mimi)INGEKUWA AFADHARI.
Maneno hayo halikuwa akiyarudia kuanzia mwanzo wa msiba mpaka anazikwa jambo hili liliwashangaza wengi na liliniumiza sana mpaka Leo nikikumbuka Yale roho inaniuma sana nashindwa hata kumuangalia mama yangu naishia kulia.
Pengine nimemkosea mama yangu sana lkn sikutegemea kama anaweza kuombea Mimi kufa imeniumiza sana.
Amekuja leo na baadh ya ndugu akiomba msamaha sijasema chochote nimeishia kulia.nataman niende mbali kwasababu nimejua Mimi si chochote kwake.
Mwenye ushauri au mawazo yoyote kisaikolojia siko sawa.
Ahsante hakuna mkamilifuPole sana kwa yaliyokusibu, haya mambo yanatokea na wewe sio wa kwanza wala wa mwisho
Huyo ni Mama na sehemu kubwa katika maisha yako.
Kubali yaishe na umwangukie miguuni na kumuomba radhi sana.
Sababu huwa nyingi sana zinazoleta maneno ya huzuni
Kuna kijana alifariki na alikuwa ni kama nguzo ya familia sasa ndugu alikuwa akilia kwa uchungu na kusema bora ningekufa Mimi (yeye)
Kuna visa vingi nimevisikia na kushuhudia
Wengine wakichukuwa hawara za mama zao na ugomvi ukawa mbaya sana.
Dunia hii imejaa visa vya kila aina
Na Mungu ndio muamuzi wa yote, kuishi kwa amani na kufuata misingi na maadili tu
Mwisho wa yote huyo ndio Mama yako no matter what
Shukran kwa ushauriachana na bwana ako
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Ahsante sana mkuukwa huo uamuzi hongera sana mkuu you got ma bless
Nitafanya hivyoJirekebishe mana picha halisi inaonesha ulivyo mkaidi, humsikilizi na pia huwa mnajibishana sana yani humheshimu.kuna watu wanaishi na wazazi wao kwa desgn hiyo sasa hapo kama una Akili jitathimini.Mwisho wa yote naomba umsamehe ila JIREKEBISHE.
Muhenga mwenzangu wewe ni bonge la mtumishi, kama hatakusiliza baasi hakuna msaada mwingine
Unachekesha, sasa amuombe radhi kwa lipi?Pole sana kwa yaliyokusibu, haya mambo yanatokea na wewe sio wa kwanza wala wa mwisho
Huyo ni Mama na sehemu kubwa katika maisha yako.
Kubali yaishe na umwangukie miguuni na kumuomba radhi sana.
Sababu huwa nyingi sana zinazoleta maneno ya huzuni
Kuna kijana alifariki na alikuwa ni kama nguzo ya familia sasa ndugu alikuwa akilia kwa uchungu na kusema bora ningekufa Mimi (yeye)
Kuna visa vingi nimevisikia na kushuhudia
Wengine wakichukuwa hawara za mama zao na ugomvi ukawa mbaya sana.
Dunia hii imejaa visa vya kila aina
Na Mungu ndio muamuzi wa yote, kuishi kwa amani na kufuata misingi na maadili tu
Mwisho wa yote huyo ndio Mama yako no matter what