Hili jambo limenishangaza sana

Hili jambo limenishangaza sana

kethika

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
630
Reaction score
472
Huwa naumia sana ninapoona jinsi wavulana wanavyowatendea wasichana kwenye swala la mapenzi.

Huwa sipendi sipendi kabisa kuona msichana anaumizwa kwenye swala la mapenzi.

Huwa kuna wasichana nikiwaangalia najiuluza hivi ataolewa na nani. Jambo linalonishangaza ni pale unapomsogelea may be kumpa strategies za namna ya kukaa mkao unaoweza kumfanya avutie hadi aolewe utakuta ana standards kibao. Ooh mimi sitaki kuolewa na mwanaume wa hivi oo wa hivi simtaki.

Sawa ila mimi nilifikiri muujiza wa kwa ilikuwa kumpata wa kukuoa haya mambo mengine ya std ungeyapunguza.

Sijui wadau nawaza sawa au hebu tusaidiane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua kituo cha huduma mana we ni wa kwanza kufanya hii kitu
 
Mkuu hawa viumbe wengine ni wa ajabu sana na hawasaidiki utaumiza kichwa bure,nikupe mfano mdogo nnapoishi kuna mdada hua anakuja nyumbani mara kwa mara kunisaidia kazi za ndani sababu maisha kwao sio mazuri na mlo kwa siku ni chai saa5 asubuhi dinner saa 12jioni, sasa bahati nzuri alikuja mgeni nyumbani alivyo muona akasema anataka kumposea mwanawe yuko Dubai,na huyo bint nilishawahi kumchukua holiday Dubai,mie nikazidi kumsifia yule bwana kua ni mtoto mzuri babu wawatu akaingia mazima picha ikapelekwa kwa mume Dubai na mazungumzo yakaanza, posa ika pelekwa kwao kijijini mume akaja kumuona mke live,siku alokuja mume kumuona mke waliishia kwao huko mie sikwenda, baada ya mahari
mdada ndio akaanza kuvaa vi mini vi skinny jeans top,kaenda kutoboa ulimi,baibui kuleeeeeeeeeeeee,hapo kaachiwa M2 tuu na smart phone mkwe alokuja kumposa anamwambia mbona mama umebadilika ghafla unavaa hivi? yule mdada anajibu wakuniuliza mume wangu sio wewe mshenga,na kama mwanao hajapenda basi mwambie aniwache, na ndoa ikaishia hapo jamaa kama bongo kaoa sasa yule bint anasema karogwa lol kwahiyo hawa watu waache wasikuumize kichwa...
 
Ili Uweze Kukaa Nao Hao Lazima Ufunue Fuvu Kwa Uangalifu Halafu Ukate Fiyuzi Moja Ama Mbili Hasa Fiyuzi Ya Ubishi Na Ujeuri Bakisha Fiyuzi Ya Upole Na Kuitikia Amri Zako
 
Mkuu hawa viumbe wengine ni wa ajabu sana na hawasaidiki utaumiza kichwa bure,nikupe mfano mdogo nnapoishi kuna mdada hua anakuja nyumbani mara kwa mara kunisaidia kazi za ndani sababu maisha kwao sio mazuri na mlo kwa siku ni chai saa5 asubuhi dinner saa 12jioni, sasa bahati nzuri alikuja mgeni nyumbani alivyo muona akasema anataka kumposea mwanawe yuko Dubai,na huyo bint nilishawahi kumchukua holiday Dubai,mie nikazidi kumsifia yule bwana kua ni mtoto mzuri babu wawatu akaingia mazima picha ikapelekwa kwa mume Dubai na mazungumzo yakaanza, posa ika pelekwa kwao kijijini mume akaja kumuona mke live,siku alokuja mume kumuona mke waliishia kwao huko mie sikwenda, baada ya mahari
mdada ndio akaanza kuvaa vi mini vi skinny jeans top,kaenda kutoboa ulimi,baibui kuleeeeeeeeeeeee,hapo kaachiwa M2 tuu na smart phone mkwe alokuja kumposa anamwambia mbona mama umebadilika ghafla unavaa hivi? yule mdada anajibu wakuniuliza mume wangu sio wewe mshenga,na kama mwanao hajapenda basi mwambie aniwache, na ndoa ikaishia hapo jamaa kama bongo kaoa sasa yule bint anasema karogwa lol kwahiyo hawa watu waache wasikuumize kichwa...
limbukeni, wewe ulikuwa unampa hela baada ya kazi pengine hata elfu kumi na tano hazifiki leo ghafla bin vuu milioni mbili bila kazi lazima uchanganyikiwe tu hamna namna
 
Sio kweli mkuu kua nilikua nampa hiyo elfu 15 ila milioni 2 sijawahi kumpa ila ni mtoto wa nyumbani na alikua anapata hela kuliko hata mfanyakazi sababu yeye anasafiri mara3 kwa mwaka wakati mfanyakazi wangu ana safiri mara1 kwa mwaka,
hulka yake tuu na hajui anataka nini...
 
Back
Top Bottom