Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,485
- 8,833
Kujitegemea siyo shida, shida ni kwamba Wafanyakazi wanunue vitu pia kwa ajili ya Wageni wanaokuja kwenye Kampuni?uongozi mpya huja na mabadiliko,, na pia jifunze kujitegemea cha mtu mavi ndugu yangu,
Tatizo ni kwambwa Wafanyakazi wanadai wanatakiwa kutoa Pesa zao binafsi kununua hivyo vitu ili hata Wageni wakija wapatiwe.Kama kwenye mkataba wenu kuna kifungu kinasema mtapewa bure maji kahawa na kashata mna haki kama wafanyakazi kulalamika ila kama hakipo hiko kifungu busara kaeni kimya tu.
Ukiona uko kazini kuna vitu unapewa na haviko kwenye mkataba wako ujue uongozi ukibadili kuna hivyo vitu kutovipata kabisaKama kwenye mkataba wenu kuna kifungu kinasema mtapewa bure maji kahawa na kashata mna haki kama wafanyakazi kulalamika ila kama hakipo hiko kifungu busara kaeni kimya tu.
Ataua kampuni hajui kwanini mumewe alikua anafanya hivyo shida ni ramani kitu ambacho hujakianzisha hujui jinsi ya kukiendeleza matatizo ndio hayo kaja na mfumo mpyaKwasasa hivi Kampuni inasimamiwa na Mke wa Marehemu, anabana matumizi anataka Wafanyakazi watoe Hela zao wanunue vile vitu ambavyo vilikuwa vinanunuliwa na Kampuni, Je hili liko sawa?
Wanaua kampuniUkiona uko kazini kuna vitu unapewa na haviko kwenye mkataba wako ujue uongozi ukibadili kuna hivyo vitu kutovipata kabisa
Tena cha kuongeza akiona imebana sana ahamie malawiKama kwenye mkataba wenu kuna kifungu kinasema mtapewa bure maji kahawa na kashata mna haki kama wafanyakazi kulalamika ila kama hakipo hiko kifungu busara kaeni kimya tu.
Anajua sana kuendeleza maana walikuwa wanaendesha Kampuni wote, shida ni Roho mbaya.Ataua kampuni hajui kwanini mumewe alikua anafanya hivyo shida ni ramani kitu ambacho hujakianzisha hujui jinsi ya kukiendeleza matatizo ndio hayo kaja na mfumo mpya
Mshahara wako unapewa kwa wakati?Kuna Kampuni Moja ya Mtu Binafsi, ni Kampuni kubwa sana kwa bahati mbaya Mwenye Kampuni alifariki, kipindi cha uhai wa mwenye Kampuni kama wafanyakazi na wageni walikuwa wakipatiwa bure Kahawa, Maji, Chai, Soda na vitu vidogovidogo vya Jikoni vilikuwepo ni Kampuni ilikuwa inatoa Hela hivyo vitu vinanunuliwa.
Kwasasa hivi Kampuni inasimamiwa na Mke wa Marehemu, anabana matumizi anataka Wafanyakazi watoe Hela zao wanunue vile vitu ambavyo vilikuwa vinanunuliwa na Kampuni, Je hili liko sawa?
Wafanyakazi wanadai wanapewa Mishahara yao kwa wakati mara chache sana Mishahara kuchelewa kidogo.Mshahara wako unapewa kwa wakati?
Ishi kwa ujira wako mkuu, hiyo ya ziada ilikuwa hisani tu. It's not your right to demandWafanyakazi wanadai wanapewa Mishahara yao kwa wakati mara chache sana Mishahara kuchelewa kidogo.
Tatizo ni kwambwa Wafanyakazi wanadai wanatakiwa kutoa Pesa zao binafsi kununua hivyo vitu ili hata Wageni wakija wapatiwe.Ishi kwa ujira wako mkuu, hiyo ya ziada ilikuwa hisani tu. It's not your right to demand
Hapo sio sawa, hizo za wageni office inawajibika. Je wafanyakazi hawatotumia vitu vya wageni?Tatizo ni kwambwa Wafanyakazi wanadai wanatakiwa kutoa Pesa zao binafsi kununua hivyo vitu ili hata Wageni wakija wapatiwe.