Hili hapana, Hayati Magufuli anasingiziwa

Ni kichaa pekee nchi hii atakuelewa kwa huu ujinga wa kupika,mega projects ndio zinathibitisha umwamba wake ,haijawahi tokea.

Unaleta za wazungu wakikupiga wanakutengenezea figure ya kuwa Una perform,huijui dunia wewe,kariri tu makaratasi
"...wazungu wakikupiga wanakutengenezea figure..."

Leta figure sahihi tuwakosoe wazungu
 
I have never read such madness in this JAMII FORUM before this one you posted

I am going to tell you only one legacy of JPM. Magufuli managed to establish government getway revenue collection system. Now this government collection is highly improved. Ndiyo maana leo SSH anaongea kwa kujiamini kwa kuwa anao uhakika wa kukusanya mapato.
Wengi wa wanaopambana na maiti ya Magufuli leo ni wale waliofaidika na mfumo wa ovyo wa ukusanyaji mapato.

Mwenyezi Mungu ampumizshe kwa amani kwani kazi aliifanya.
Well said
 
Ni kichaa pekee nchi hii atakuelewa kwa huu ujinga wa kupika,mega projects ndio zinathibitisha umwamba wake ,haijawahi tokea.

Unaleta za wazungu wakikupiga wanakutengenezea figure ya kuwa Una perform,huijui dunia wewe,kariri tu makaratasi

Mega projects zilikuwa ni mbili tu za SGR na SG nazo ni za fedha za kukopa kwa kificho, hadi anaenda kuzimu hakuna hata moja aliyokuwa amefikisha robo ya matarajio, na hata angeendelea kubaki hai, hakuwa na uwezo wa kuzikamilisha maana alikuwa ameshachemsha. Alichofanikiwa ni kudhibiti vyombo vya habari ili alishe watu ulaghai wake. Na wote waliokuwa wanamkosoa alitumia lile kundi lake la watu wasiojulikana kuwateka, kuwaua na kuwabambikia kesi. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika sana.
 
Kama ni kujichafua alijichafua mwenyewe naona nguvu mnaitumia nyie kumsafisha wakati yeye hakutaka kujisafisha.

Kauli yake tu ya mwisho alipoonekana public alimwambia mwanchi baki na mavi yako nyumbani! Sasa kama kiongozi wa nchi anaongea hivyo wa chini yake walikuaje?
 
Ni kichaa pekee nchi hii atakuelewa kwa huu ujinga wa kupika,mega projects ndio zinathibitisha umwamba wake ,haijawahi tokea.

Unaleta za wazungu wakikupiga wanakutengenezea figure ya kuwa Una perform,huijui dunia wewe,kariri tu makaratasi
Mbona JK alimwaga lami nchi nzima
Alipanua airport
Alileta umeme wa gesi Kinyerezi
Alitoa maji ziwa Victoria kuyaleta kanda ya kati
Mwendokasi
UDOM
Shule za kata
Alipanua bandari n.k

Kila kiongozi ana milestone zake na yote yalikua kwenye mpango wa pili wa maendeleo ya taifa.

Tatizo mkaaminishwa ni initiative za JPM pekee na kwamba waliopita hawakufanya lolote
 
We jamaa inabidi upimwe akili si kwa utopolo uliouleta hapa

Kwa bahati mbaya huu ndio ukweli uliokuwa unalindwa na serikali ya kidhalimu ya Magufuli ili usifahamike kwa wananchi. Na ukweli huu uliwekwa hadharani wakati wa kampeni. Ukweli ule ulimfanya Magufuli aanze kuugua mara kwa mara wakati wa kampeni. Na hata baada ya uchaguzi hali yake haikutengamaa kutokana na msongo wa mawazo alioupata, pamoja na kufanikiwa kupora uchaguzi na kupewa kura za kupika. Kifo chake ilikuwa ni furaha kwa taifa, japo ilitumika nguvu kubwa kuhakikisha furaha ya watu kwenye kifo kile haionekani.
 
Samia, kiutendaji amemwacha mbali sana Magufuli. Magufuli alikuwa na speed kubwa katika propaganda, na siyo katila utendaji. Mimi siyo shabiki wa Samia, lakini ukimlinganisha Samia na Magufuli, Samia pamoja na mapungufu yake, atakuwa malaika

Kitu gani Magufuli ilisema kitakamilika wakati fulani halafu kikamilika wakati uliotajwa?

Speed kubwa ya Magufuli ilikuwa katika kudidimiza uhuru wa watu, demokrasia, haki za watu, kukanyaga sheria na katiba, na kudidimiza uchumi.

Wakati wa Kikwete uchumi ulikuwa unakua kwa 7%, Magufuli aliuporomosha mpaka 1.9% (taarifa ya WB), uwekezaji mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 28%, Magufuli aliuangusha mpaka 4%. Utalii mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 15%, mpaka 2019, Magufuli alikuwa ameuangusha mpaka 3.6%. Kwa takwimu hizi, Magufuli alikuwa anaenda spidi kali katika kuangamiza Taifa.

Kitu pekee alichofanikiwa Magufuli kuliko watangulizi waje ni siasa za ulaghai. Na wajinga aliwapata sana, hata wengine kufikiria kuwa alikuwa anafanya mambo makubwa sana kuliko watangulizi wake. Kwa kweli wajinga aliwaokota hasa, lakini wenye akili wanajua kuwa Magufuli alikuwa janga kwa Taifa. Hakuistahili ile nafasi.

Jbo jingine, ni kwamba marehemu Magufuli anasemwa sana sasa kwa sababu moja kubwa, alikuwa dikteta aliyewanyima watu haki ya kusema. Nani angemkosoa Magufuli wakati akiwa hai, halafu angebaki salama? Tazama alichofanyiwa Lisu. Yuko wapi Ben Saalnane aliekosoa PhD ya Magufuli?

Usizungumze kama vile umeshuka leo toka ahera. Ka ulikuwepo nchini wajati wa Magufuli, huwezi kushangaa kwa nini watu wanasema leo, na siyo wajati wa uhai wake.
Aliyoyafanya magufur kwa miaka 5 tu hayaitaji kusimuliwa wala hayaitaji elimu ya PHD kuyafahamu.. wewe na wajinga wenzio wenye vyeti fake endeelen na propaganda zenu ila sisi tunaojitambua Magufuri alikua Rais bora kuwahi kutokea nchi hii
 
Baada ya hayati Magufuli kufariki maadui zake kazi ikabaki moja tu kuwekeza kwenye propaganda chafu dhidi yake, ili kumuondoa Magufuli mioyoni mwa watanzania wengi walioumuelewa na kuipenda kazi yake.

Waliwekeza mitandaoni kwa kuajiri vijana wa kumponda,threads nyingi ziliandikwa kwa pupa bila umakini.

Walichokosea ni kutoajiri watu makini wa kuchambua hoja zilizoshiba kutofautiana na mtazamo wa Rais Magufuli ili mbivu na mbichi zijitenge.

Matokeo yake wakaajiri wahuni ,wakiwemo na wahanga wa vyeti fake, kazi yao ikawa ni matusi kutwa kucha, matokeo yake wamepuuzwa vibaya sana na pumzi zimekata ghafla

Ukweli ni kwamba , mpaka sasa Magufuli anashaini mioyoni mwa watanzania wengi na anaendelea kuwa prove wrong watesi wake.

Leo mama Samia imebidi ataje jina la Magufuli alipokuwa akiifungua barabara ya mbezi louis,anajua bila Magufuli ushawishi unazidi kupungua.

Mungu mjalie Rais Samia angalau afikie hata nusu ya speed ya hayati Magufuli mambo yatakwenda
Na hili anasingiziwa sio?👇

Screenshot_20211113-134557.png
 
Na wewe mwenye akili timamu kwa Nini huku jibu hizo hoja? Usiangushie gari bovu awamu ya sita mzee baba?
 
Samia, kiutendaji amemwacha mbali sana Magufuli. Magufuli alikuwa na speed kubwa katika propaganda, na siyo katila utendaji. Mimi siyo shabiki wa Samia, lakini ukimlinganisha Samia na Magufuli, Samia pamoja na mapungufu yake, atakuwa malaika...
Vipi kuhusu madaraja ya kijazi na mfugale? Ooh nimesahau yalijengwa kipindi Cha Kikwete kweli!

Nikiingalia Tanzania naona hospitali za mikoa na wilaya na vituo vya afya zaidi ya 450 katika kipindi Cha miaka mitano tu kafuta kabisa utalii wa matibabu India akaimalisha Huduma za afya nchini na sasa tumeichukua nafasi ya Kenya kwa kuwa na kuwa nchi rufaa kwa Huduma za kibobezi za kiafya.

Mwenyezi Mungu huwachukia watu wasio na shukurani, Kama hatuwezi kushukuru kwa haya Basi hatuwezi kumshukuru hata malaika akija kututawala.
 
Wewe wasema lakini alvyotufanyia katika uchaguzi yatosha kutokumpa. Kukupa ukweli ndiyo maana Mungu alisema basi yatosha. Mbona Mwinyi yupo, Kikwete yupo. Kila mtu ana siku yake lakini ukitenda maovu yanakuletea umauti mapema. Wakati wa Mwinyi pamoja na kutuknwa lakini hatukusikia watu kupotea, Kikwete hatukusikia mtu kupotea. Hawa Mungu ataenelea kuwapa maisha marefu maana hakuna damu zinawashitaki mbele za Mungu.
Nawao mda ukifika watakufa, kama maovu adhabu yake nikifo kwa karne hii hakuna binadamu alietenda maovu kama Bush lakin mbona bado yupo!
 
Samia, kiutendaji amemwacha mbali sana Magufuli. Magufuli alikuwa na speed kubwa katika propaganda, na siyo katila utendaji. Mimi siyo shabiki wa Samia, lakini ukimlinganisha Samia na Magufuli, Samia pamoja na mapungufu yake, atakuwa malaika...
UROJOOO MTUPU HUU. Hivi wewe umefika darasa la 12 ? That’s purely insanity.
 
Mil 50 kila kijij

Kila mwalimu laptop au takrish mpakato (naomba kusahihishwa ) alitoa?

Akasimamisha mishahara yaani aliyeajiriwa 2015 na 2020 mishahara sawa. Haijalishi unafanya kazi wapi.

Stieglers Gorge Nyerere ndio alibuni huo mradi na Utafiti wote ulifanywa na kampuni za Norway miaka nyuma kibao.
Matukio kibao yalisabsbisha huo mradi uahirishwe lakini utafiti wote ukishafanyika wote.

Alichofanya Bw Mkubwa ni kuchukua yale makabrasha na kuwapa wa misri na Hakuanza " from Scratch" Ndio maana muda wa mradi umepungua sababu utafiti peke yake labda sasa hivi ndio report ingrkuwa inatoka kama angeanza nao.

Mega Project labda ya Chato Airport na Reli.

Hakuna kitu kibaya alichofanya yule Bw. Mkubwa kama kuwabana watumishi yaani mtu anaestafu 2021 analipwa kwa mshahara ule ule wa 2015 maana hakukuwa na mabadiliko ya ajira na malipo.

Mitaani kwa watu kama nyie aliwazuga ssna kwa Bling bling.
 
Samia, kiutendaji amemwacha mbali sana Magufuli. Magufuli alikuwa na speed kubwa katika propaganda, na siyo katila utendaji. Mimi siyo shabiki wa Samia, lakini ukimlinganisha Samia na Magufuli, Samia pamoja na mapungufu yake...
Tutake radhi wa Tanzania, huyu ni Rais wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano, sio Rais wa Wananchi
 
Back
Top Bottom