Hili hapana, Hayati Magufuli anasingiziwa

Ni kichaa pekee nchi hii atakuelewa kwa huu ujinga wa kupika,mega projects ndio zinathibitisha umwamba wake ,haijawahi tokea.

Unaleta za wazungu wakikupiga wanakutengenezea figure ya kuwa Una perform,huijui dunia wewe,kariri tu makaratasi

..mega projects za magu ziko behind schedule.

..sgr dar to moro ilitakiwa iwe imekamilika.

..stieglers tunaambiwa imechelewa kwa siku 400+. Maana yake ni imechelewa zaidi ya mwaka mmoja.

..pia hatujui MASHARTI ya mikopo ya miradi hiyo yakoje. Kulikuwa na usiri mkubwa.
 
Mkuu nakupongeza kwa uandishi mzuri ila kichwani huna kitu sababu uchumi wa dunia uliporomoka sababu ya corona, ss ulitwgemea tanzania iwe na uchumi mkubwa kwani ni kisiwa. Pia magufuli anasifika kote duniani kwa maamuzi yake ambayo mengi ni very positive na ni mtendaji asiyeteterwka na husimamia kila anachokiqmini ni sahihi
"Hamatan" anakomaa sana ila kichwani badala ya ubongo kajaza kamasi
 
..mega projects za magu ziko behind schedule.

..sgr dar to moro ilitakiwa iwe imekamilika.

..stieglers tunaambiwa imechelewa kwa siku 400+. Maana yake ni imechelewa zaidi ya mwaka mmoja.

..pia hatujui MASHARTI ya mikopo ya miradi hiyo yakoje. Kulikuwa na usiri mkubwa.
Muda mwingine ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya ,inakujengea heshima
 
Baada ya hayati Magufuli kufariki maadui zake kazi ikabaki moja tu kuwekeza kwenye propaganda chafu dhidi yake, ili kumuondoa Magufuli mioyoni mwa watanzania wengi walioumuelewa na kuipenda kazi yake.

Waliwekeza mitandaoni kwa kuajiri vijana wa kumponda,threads nyingi ziliandikwa kwa pupa bila umakini.

Walichokosea ni kutoajiri watu makini wa kuchambua hoja zilizoshiba kutofautiana na mtazamo wa Rais Magufuli ili mbivu na mbichi zijitenge.

Matokeo yake wakaajiri wahuni ,wakiwemo na wahanga wa vyeti fake, kazi yao ikawa ni matusi kutwa kucha, matokeo yake wamepuuzwa vibaya sana na pumzi zimekata ghafla

Ukweli ni kwamba , mpaka sasa Magufuli anashaini mioyoni mwa watanzania wengi na anaendelea kuwa prove wrong watesi wake.

Leo mama Samia imebidi ataje jina la Magufuli alipokuwa akiifungua barabara ya mbezi louis,anajua bila Magufuli ushawishi unazidi kupungua.

Mungu mjalie Rais Samia angalau afikie hata nusu ya speed ya hayati Magufuli mambo yatakwenda
"Kwa hili hapana Magu anasingiziwa"
liko wapi mbona hatulioni
 
Baada ya hayati Magufuli kufariki maadui zake kazi ikabaki moja tu kuwekeza kwenye propaganda chafu dhidi yake, ili kumuondoa Magufuli mioyoni mwa watanzania wengi walioumuelewa na kuipenda kazi yake.
Hiyo mbegu aliipanda na kuipalilia Magufuli mwenyewe, msiangushie jumba bovu wengine. Alipokuwa anapiga propaganda chafu kwa watangulizi wake hadi kusema wanawashwawashwa mlishangilia, sasa subirini kisu kikikata mfupa
 
Angetuundia tume yakuchunguza kifo cha magufuli kidogo sisi sukuma geng tungemuuelewa,hiii kupita hivi kimya kimya na anashuhudia magufuli akinangwa na wapumbavu wachache na hasemi chochote tunaumia sana.tunamuona naye ni walewale chawa
 
Exactly, tena hapo ndipo angetawala kwa amani sana
 
Baada ya hayati Magufuli kufariki maadui zake kazi ikabaki moja tu kuwekeza kwenye propaganda chafu dhidi yake, ili kumuondoa Magufuli mioyoni mwa watanzania wengi walioumuelewa na kuipenda kazi yake.

Waliwekeza mitandaoni kwa kuajiri vijana wa kumponda,threads nyingi ziliandikwa kwa pupa bila umakini.

Walichokosea ni kutoajiri watu makini wa kuchambua hoja zilizoshiba kutofautiana na mtazamo wa Rais Magufuli ili mbivu na mbichi zijitenge.

Matokeo yake wakaajiri wahuni ,wakiwemo na wahanga wa vyeti fake, kazi yao ikawa ni matusi kutwa kucha, matokeo yake wamepuuzwa vibaya sana na pumzi zimekata ghafla

Ukweli ni kwamba , mpaka sasa Magufuli anashaini mioyoni mwa watanzania wengi na anaendelea kuwa prove wrong watesi wake.

Leo mama Samia imebidi ataje jina la Magufuli alipokuwa akiifungua barabara ya mbezi louis,anajua bila Magufuli ushawishi unazidi kupungua.

Mungu mjalie Rais Samia angalau afikie hata nusu ya speed ya hayati Magufuli mambo yatakwenda
Bado mnaendelea kuweweseka. Pole sana. Baada ya mwaka mmoja mzimu utaacha kuwatokea mtapona tu.
 
Angetuundia tume yakuchunguza kifo cha magufuli kidogo sisi sukuma geng tungemuuelewa,hiii kupita hivi kimya kimya na anashuhudia magufuli akinangwa na wapumbavu wachache na hasemi chochote tunaumia sana.tunamuona naye ni walewale chawa
Pole sana. Baada ya mwaka mmoja au miwili mtapona tu.
 
Bado mnaendelea kuweweseka. Pole sana. Baada ya mwaka mmoja mzimu utaacha kuwatokea mtapona tu.
Kafanya makubwa mazuri kwa taifa ndani ya muda mfupi,shahidi ni mzee mwinyi ,rais wa awamu ya pili
 
Samia, kiutendaji amemwacha mbali sana Magufuli. Magufuli alikuwa na speed kubwa katika propaganda, na siyo katila utendaji. Mimi siyo shabiki wa Samia, lakini ukimlinganisha Samia na Magufuli, Samia pamoja na mapungufu yake, atakuwa malaika

Kitu gani Magufuli ilisema kitakamilika wakati fulani halafu kikamilika wakati uliotajwa?

Speed kubwa ya Magufuli ilikuwa katika kudidimiza uhuru wa watu, demokrasia, haki za watu, kukanyaga sheria na katiba, na kudidimiza uchumi.

Wakati wa Kikwete uchumi ulikuwa unakua kwa 7%, Magufuli aliuporomosha mpaka 1.9% (taarifa ya WB), uwekezaji mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 28%, Magufuli aliuangusha mpaka 4%. Utalii mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 15%, mpaka 2019, Magufuli alikuwa ameuangusha mpaka 3.6%. Kwa takwimu hizi, Magufuli alikuwa anaenda spidi kali katika kuangamiza Taifa.

Kitu pekee alichofanikiwa Magufuli kuliko watangulizi waje ni siasa za ulaghai. Na wajinga aliwapata sana, hata wengine kufikiria kuwa alikuwa anafanya mambo makubwa sana kuliko watangulizi wake. Kwa kweli wajinga aliwaokota hasa, lakini wenye akili wanajua kuwa Magufuli alikuwa janga kwa Taifa. Hakuistahili ile nafasi.

Jbo jingine, ni kwamba marehemu Magufuli anasemwa sana sasa kwa sababu moja kubwa, alikuwa dikteta aliyewanyima watu haki ya kusema. Nani angemkosoa Magufuli wakati akiwa hai, halafu angebaki salama? Tazama alichofanyiwa Lisu. Yuko wapi Ben Saalnane aliekosoa PhD ya Magufuli?

Usizungumze kama vile umeshuka leo toka ahera. Ka ulikuwepo nchini wajati wa Magufuli, huwezi kushangaa kwa nini watu wanasema leo, na siyo wajati wa uhai wake.
Samia amefanya nini zaidi ya Magufuli?
 
Baada ya hayati Magufuli kufariki maadui zake kazi ikabaki moja tu kuwekeza kwenye propaganda chafu dhidi yake, ili kumuondoa Magufuli mioyoni mwa watanzania wengi walioumuelewa na kuipenda kazi yake.

Waliwekeza mitandaoni kwa kuajiri vijana wa kumponda,threads nyingi ziliandikwa kwa pupa bila umakini.

Walichokosea ni kutoajiri watu makini wa kuchambua hoja zilizoshiba kutofautiana na mtazamo wa Rais Magufuli ili mbivu na mbichi zijitenge.

Matokeo yake wakaajiri wahuni ,wakiwemo na wahanga wa vyeti fake, kazi yao ikawa ni matusi kutwa kucha, matokeo yake wamepuuzwa vibaya sana na pumzi zimekata ghafla

Ukweli ni kwamba , mpaka sasa Magufuli anashaini mioyoni mwa watanzania wengi na anaendelea kuwa prove wrong watesi wake.

Leo mama Samia imebidi ataje jina la Magufuli alipokuwa akiifungua barabara ya mbezi louis,anajua bila Magufuli ushawishi unazidi kupungua.

Mungu mjalie Rais Samia angalau afikie hata nusu ya speed ya hayati Magufuli mambo yatakwenda
Wewe wasema lakini alvyotufanyia katika uchaguzi yatosha kutokumpa. Kukupa ukweli ndiyo maana Mungu alisema basi yatosha. Mbona Mwinyi yupo, Kikwete yupo. Kila mtu ana siku yake lakini ukitenda maovu yanakuletea umauti mapema. Wakati wa Mwinyi pamoja na kutuknwa lakini hatukusikia watu kupotea, Kikwete hatukusikia mtu kupotea. Hawa Mungu ataenelea kuwapa maisha marefu maana hakuna damu zinawashitaki mbele za Mungu.
 
Umeandika nini sasa? Sipendi upuuzi kama huu niki kukamata nita kupiga njiti zisizo na idadi. Umenipotezea muda kumbe nasoma upuuzi. Shwaini
 
Back
Top Bottom