Daah aina mpya wapi mkuu solid rubber tire zipo miaka na miaka si hizo zingine zinatumika kwenye matolori,mitambo ya migodini inayobeba vitu visizo nadhani yapo sehemu nyingi hata hapa kwetu...kwenye gari haziwezi kutumika zinaongeza uzito kwa hiyo zitapunguza mwendokasi wa gari na pia baadhi ya ndege za mizigo mizito wanaweka hizo tairi, Baiskeli na vitu vingine vingi tuu na ni tairi ghali kuliko hizi zingine...