Hili gauni la Beyonce!

Yani hii picha hata mimi inanitisha.Napata picha kama malaika mtoa roho ndio huvaa hivyo...sijui kwanini eti.
Halafu,alikuwa anajisikiaje kuvaa machuma mpaka shingoni na mimba juu....jamani...ili atokee vizuri kwenye picha..
 
Heheheh kumbe sipo peke yangu yaan nikiiona nawaza mambo ya kutisha tisha tu hahahahahah
 
Mkuu fafanua kidogo kama hutajali?
daah ni mambo mengi mkuu,hiyo nguo ya Beyonce hiyo anaashiria power flan,ukijumlisha na alivyovaa kichwani na hiyo crown na hizo rangi zina represent alama flan za kishetani(maelezo ni marefu sana)
Tukija kwenye majina ya watoto,daughter wao anaitwa "Blue Ivy",wamecheza na lugha tu.hilo jina ukiligeuza linakuwa "Eulb Yvi" ni kilatini hicho,lina mean "Lusifer's daughter" sasa pambanua hapo...mtoto wa Kanye west anaitwa North West.hawa iluminati wanacheza sana na muda na wana akili nyingi sana.uki reffer ishu ya muda kwa saa ya mshale,mshale mmoja ukiwa north straight manake ni "kamili" na mwingine ukiwa west straight it means ni saa tisa,that means saa tisa kamili or saa tatu kamili usiku.but kwa maana zao hawa illuminati hiyo North West wame mean saa tisa kamili usiku na saa tisa kamili usiku inasemwa kuwa ndo muda ambao Lusifer yuko active kuliko muda wowote...daah sijui kama utaelewa,ila jitahidi uelewe hivyo hivyo.
cc Dinazarde
 
Hiyo gauni ina maandishi hapo pembeni kwenye mkono,,,kwa hiyo hawa wanaonana na shetani live au ??halaf beyonce ana kanisa lake na yeye ndio Mungu
 
Mimi hapo najiuliza hii kofia ya Beyonce, inaashiria nini? Mshana Jr msaada tafadhali.
 
daah ni mambo mengi mkuu,hiyo nguo ya Beyonce hiyo anaashiria power flan,ukijumlisha na alivyovaa kichwani na hiyo crown na hizo rangi zina represent alama flan za kishetani(maelezo ni marefu sana)
Tukija kwenye majina ya watoto,daughter wao anaitwa "Blue Ivy",wamecheza na lugha tu.hilo jina ukiligeuza linakuwa "Eulb Yvi" ni kilatini hicho,lina mean "Lusifer's daughter" sasa pambanua hapo...mtoto wa Kanye west anaitwa North West.hawa iluminati wanacheza sana na muda na wana akili nyingi sana.uki reffer ishu ya muda kwa saa ya mshale,mshale mmoja ukiwa north straight manake ni "kamili" na mwingine ukiwa west straight it means ni saa tisa,that means saa tisa kamili or saa tatu kamili usiku.but kwa maana zao hawa illuminati hiyo North West wame mean saa tisa kamili usiku na saa tisa kamili usiku inasemwa kuwa ndo muda ambao Lusifer yuko active kuliko muda wowote...daah sijui kama utaelewa,ila jitahidi uelewe hivyo hivyo.
cc Dinazarde
Mwe
hapana!!So kanye alizaliwa tayari illuminati?
 
gauni utadhani makororokoro yamekusanywa pamoja hahaa ila hapo Value yake najenga nyumba yangu na kununua gari maybe
 
hapana hakuzaliwa illuminati,hayo mazingira wanayatengeneza wenyewe ili waendelee kutukuza. ni situation flani ya kutumia opportunity
Kwa hiyo ukiwa maarufu lazima uwe huko na je kuna wasanii ambao hawapo kwenye ushetani?
Je watoto wa Michael Jackson ?
 
kwa namna nnanyojua,sio wasanii tu,watu wote maarufu wenye hela nyingi woote wako huko.kuanzia wasanii,wafanya biashara mpaka wachungaji wakubwa.kuna kiwango flani cha umaarufu na utajiri ukishakifikia ni lazima upate extra power kwa ajili ya ku protect your wealth and kwa ajili ya kuendelea kuwa more convincing.asikudanganye mtu,hawa watu maarufu % kubwa sana wako huko,hakuna cha wahubiri wala cha nani..
kuhusu hawa watoto wa Wacko sijui kwakweli
 
Dress code ni highly masonic designed from virgin marry statue hupati shaka kabisa kwamba huu ni ushahidi mwingine wa uhusika wa beyonce katika ushetani
 
Mkuu asante nimeelewa elewa hivyo hivyo..

Na ile salamu ya Jay z ndo kabisa full ushetani sijui anakunja kunja vipi vidole kusalimia watu, yaani ana Kazi asee...
 
Yaan hilo gauni mmmmh litakuwa na maana nyingi sanaa na style aliyovaa
Wanasema it's insipired from Oshun, African Goddess of beauty, fertility and prosperity...
Anyone got more notes on Oshun maybe??..wasanji wana mamboo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom