Hili Gari tukio lake unalikumbuka?

nitakumbuka nini wakati hata sijui na wala sikuwepo!!
 
Mkuu, Sio kwenye ile ziara ya kutembelea vyanzo vya maji Dar mwaka uleee? Mitaa ya kimara?
 
Kwani ukitukumbusha utakosa nini
 
Wengine tulikuwa bado hatuna simu za 'touch'. Tujuzeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…