Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,449 Reaction score 9,745 Apr 30, 2025 #1 Hili gari namba A ni kama linanipa mashaka, wataalam ipoje hii?
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,743 Reaction score 12,370 Apr 30, 2025 #2 Hizo zimebandikwa tu kijana Haina uhalisia wowote... Za wazee wakazi bila shaka
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,064 Reaction score 132,518 Apr 30, 2025 #3 Gari za wenyewe hizo Jiongeze Ova
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,944 Reaction score 119,344 Apr 30, 2025 #4 Magari ya wenye nchi hayo. Jaribu na wewe kufanya hivyo uone kitakacho kukuta.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 12,224 Reaction score 17,013 Apr 30, 2025 #5 Mchochezi said: Hili gari namba A ni kama linanipa mashaka, wataalam ipoje hii?View attachment 3320571 Click to expand... Hizi za wazee wa nyakuanyakua!Umenielewa.
Mchochezi said: Hili gari namba A ni kama linanipa mashaka, wataalam ipoje hii?View attachment 3320571 Click to expand... Hizi za wazee wa nyakuanyakua!Umenielewa.
Kelvin35 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 1,199 Reaction score 1,830 Apr 30, 2025 #6 Nimesoma koment lakini bado sijaelewa
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,449 Reaction score 9,745 May 1, 2025 Thread starter #7 Kelvin35 said: Nimesoma koment lakini bado sijaelewa Click to expand... Nenda Veta
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,302 May 3, 2025 #8 Ndio habari ya mjini kwa sasa
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 May 3, 2025 #9 Gari za kazi, zinabadilika plate number, kutokana na mazingira na kazi iliyoenda kufanywa. Usije shangaa tena, ukaikuta na kibao bado haijasajiliwa.
Gari za kazi, zinabadilika plate number, kutokana na mazingira na kazi iliyoenda kufanywa. Usije shangaa tena, ukaikuta na kibao bado haijasajiliwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,201 Reaction score 185,492 May 3, 2025 #10 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw