Nitumie mtani[emoji1545]Ni mkoa gani? bakari shame ni kama namjua.
Nasikia hilo tego mkifanyiwa mnaumia huko chini sana.
Yupo mzee hapo kimara temboni miaka ya nyuma kidogo alikuwa anasimulia kwenye daladala.
Nilichukua na namba yake sijui kama bado ninayo ni long time past.
Halafu nilijua umekufa ujue..[emoji23]