Hili daraja liongezwe upana sasa ............!

Hili daraja liongezwe upana sasa ............!

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,693
ssf.png

Ni la pale mto wami, hamuwezi pishana gari mbili na limekaa hivyo kwa miaka mingi, kwa nini lisipanuliwe ...............!:A S 39:
 
Naona pulling tank ya Super Star Forward almanusura aiingize mtoni! Lile daraja ni janga,tangu enzi hizoooo,yaani mpaka mviziane ndo mvuke!
 
bora usingesema, watacreate mradi watatoa hela, hazitafika zote watachakachua vya kutosha afu mwisho wa siku daraja litabomoka wakati gari litakapokua linapita. maafa yatakua makubwa kuliko na usafiri utasimama.
 
Labda hakuna Wahisani waliotoa hela ya Upanuzi....
 
si ajabu hela ishatolewa siku nyingi ikayeyuka
 
Back
Top Bottom