Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
Inabidi serikali iangalie hii sehemu ya muhimu kwa jicho pana zaidi,hii ni pamoja na kuboresha hili daraja mana nimepita hapo muda si mrefu mto umejaa balaa maji yameanza kupanda hadi darajani,na mvua bado zinaendelea kunyesha.ikiendelea hivi kwa siku mfululizo laweza kusombwa kwa mara nyingine.So nadhani serikali ingejipanga kwa hili.