Mkuu umesahau Happy nation za dar-mbeya na dar-mwanza usijaribu kabisa kupanda kama una presha
there you"re, inawezekana ikawa ndio bus linalokwenda speed kuliko hata niliyotaja, siki moja nilipanda bus la kampuni hii saa 6 mchana Arusha and by saa 2 kasoro tulikuwa tunaitafuta dar
Juzi nlikua nataka kuja dar kutoka mwnza nkapanda bus la kichina zhong tong coz nlisikia yanatembea vizuri na kweli tulipotoka stand nyegezi gari ilikua inakimbia sana lakini nlishangaa sana kabla hatujafika shinyanga ilitupita happy nation yutong kama tumesimama abiria wote tulianza kulidiscuss lile gari tulipo simama kula sibgida tukawa tunapga story na konda akasema ile gari body ni yutong enginne scania hakuna gari inaweza fuata ile bus kwel cc tulifka ubungo saa tatu na tuliikuta imepaki kwenda kuiangalia nyuma imebandwa chata inayoonyesha engine ya scania af wenywe wameiandika kwa pembeni special order dah nlichoka
Musoma express halitoki msoma linatoka mwanza hili basi ndio basi pekee linafika dar saa tatu usiku mengine yote tano ama sita...nilipanda siku moja nikawa nasari rozari hadi nilipofika dar
Hahaha hahaha
.. 0787668306 au 0755365402 pinga # hiyo niya Central Police Control Room.
jamani hivi hao waliyo yatengeneza hayo mabasi hawakujua kuwa kuna siku yatakimbia hadi 180Km/hr? na je kama gari ina speed 320 km/hr mtu akitembelea speed 200 km/hr kuna tatizo?