nampongeza hilary aeshi kushinda kesi ya dhulma iliyofunguliwa dhidi yake
wewe pongeza pongeza, na mwishowe utaja pongeza hadi anayekulambia wa mkeo.
nampongeza hilary aeshi kushinda kesi ya dhulma iliyofunguliwa dhidi yake
wewe pongeza pongeza, na uendelee kupongeza utaja pongeza hadi anayekulambia mkeo, unampongeza mwizi wa demokrasia?Mbunge wa sumbawanga mjini Hilary Aeshy aliyeshinda rufaa ya kuvuliwa ubunge na hivyo kurudishiwa ubunge wake ameingia bungeni na kupokelewa kama shujaa ambapo wabunge wamempigia makofi na kupiga vigelegele kuonyesha furaha yao, kitendo kilichofanya shughuli za bunge kusimama kwa muda na kulazimika mwenyekiti wa bunge kuomba order kwa wabunge.
MY TAKE; hongera aeshi
Mambo ya kike yakoje' ? Sasa tusiandike ukwel wa jambo lenyewe'? Wakati ndivyo ulivyo ukwel? Kwaani yule jaji aliyetengua ushindi wa huyu mbunge alikuwa mjinga? Na maagizo yakatolewa na ccm kuwa arudishiwe ubunge wake mbona ni vitu ambavyo viko wazi ndugu...kama ww ni mwana siasa fuatilia mambo na uwe mtafiti utafanikiwa zaidi
Ninaposema shela nina maana iposiku mtaolewa maana mna mambo ya kike kila sku ni kulalamika tuu hata kwa mambo ambayo yameamliwa kisheria, au sheria iko upande wa cdm peke yake? Ni jinsi gani mnaonyesha kutokukomaa kwenye siasa maana mnaingilia hata mamlaka ya vyombo vingine
Madiwani watatu na aliyekuwa Mwenyekiti wa vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) manispaa ya Sumbawanga leo wamemsindikiza bungeni mbunge wa Sumbawanga mjini aliyeshinda rufaa yake katika kesi iliyofunguliwa dhidi yake na mgombea wa Chadema.
RIGHT!!! Give credit when its dueKumbuka huyo ni mbunge wao wote na ndiye anayewawakilisha bungeni so hakuna noma, siasa sio vita.
Madiwani wako kizalendo zaidi...