HIKI SIO CHAMA KIBURI TUPU, FUTILIA MBALI: Source T.DAIMA

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
BARAZA la Chama cha Walimu Nchini (CWT), limetoa siku 30 kabla ya kutangaza mgogoro na serikali kwa madai kuwa imeshindwa kuteua baraza la majadiliano la sekta ya elimu ambalo lingeweza kujadili mishahara mipya ya walimu kwa mwaka 2012/2013 na kufika asilimia 100
 
kiukweli walimu wana haki ya kulipwa risk allowance coz mazingira wanayofanyia kazi ni hatari sana plus wanafunzi wengi kupita kipimo.
 
Back
Top Bottom