Hiki ni kitu kinachonikera sana wakati wa game, wewe ni kipi?

Simu yangu ikiita,halafu jamaa anakomaa kupiga kama mara 7 hivi,halafu unapojaribu kupokea anaanza kukuuliza we nani!!
 
Mie nadhani kushikwa tako si sawa na kunyosolewa. Tako kushikwa na mpenzio sio issue ila kama anakunyosoa hapo kazi unayo loool...
 
ahaaaaaa. Maku ya bure hakunaga. Coz hata mkeo ulimtolea mahali so vya bure nooooooo!


Lol!....kama wewe ni "ke" ndo basi tena mshakua wengi siku zijazo mtatupa hata bure na tutakataa mfe kwa genye
 
Lol!....kama wewe ni "ke" ndo basi tena mshakua wengi siku zijazo mtatupa hata bure na tutakataa mfe kwa genye
tuko wengi? Wewe mpaka sasa una wangapi? Jiliwaze eti kutko wengi mtapata vya bure, utasubiri sana
 
tuko wengi? Wewe mpaka sasa una wangapi? Jiliwaze eti kutko wengi mtapata vya bure, utasubiri sana


Daaah!!...mbona mimi napewa sana free nikipiga tu simu hawa hapa sijui hao wanaosubiri watakua na shida si bure
 
Mmeyasikia ya Amber Rosie wa Kanye West, anajitapa live Twitter eti alikuwa anampima tezi West!!!
 
Nakerekaga kwenye game pale napotaka kushoot alaf game inaStack yani nazima kabisa Pc nianze mwanzo.
 
Huyo ndio wa type yako...take it lady. We unafikiri kama umempata huyo mchafu wako anayechambia toilet paper basi ni kila mwanaume yuko hivyo?

Kwanza mpaka umpate/uwapate wa hivyo ina maana wewe ukoje? I doubt.....

Wewe wa type yako ndio hao wanapima tezi dume? Ushajizoelea mwenyewe.
 
Mm anapo simamisha game kuomba hela ya yebo yebo,hapo hamu yote huwa inaisha kwa kweli
 
Mapenzi ni sirii... Na c vema kutoa siri za mkeo/mmeo kama hivi mitandaonii jamn if ur have true lv... No one is perfect
 
Check unavyotokwa povu...wewe mwenyewe umejitangaza hapa kuhusu mtu wako sasa alivyo unaanza kutupia watu mpira.

Wa kutokwa povu mimi?
Pitia post zangu kwa utambulisho.
Kama nakuona unavyorembua jicho ukipimwa tezi dume.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom