Hiki ni kitu kinachonikera sana wakati wa game, wewe ni kipi?

Mi ni me bhana!! Iweje anishike kalio??
Size ya kalio lako likoje ... Isijekua kubwa afu laini Lina nyama akishika utazani kashika mdoli wenye manyoya hahahah na unajua wadada wengi na midoli..... Joking hahhaha
 
Kwanini uwe huna? ukiwa nae ufaanye mishe ujae kila ukimhitaji Mbona wao hata and wakiwa hawana mood ya kutoa kitu ukitaka anakupa


Hua ananipa tu kwa maana anajua natoa kifuta jasho

Ila yale maujanja pale kati ni zero team gogo
 
Unajua ukipimwa oil game unamaliza mapema kuwa makin sana na huyo dem ejaculation inakuwa fast because anagusa prostate gland na ukikubali utazoea hiyo hali Na utasikia kurudia tena kuingzwa kidole itapelekea kuwa shoGa take care man
 
Huwa nakeleka sana na milio ya wizi. Mtu analia utazani kafiwa na mamayake. Mara viingereza vya ugokoni. Yaani wizi mtupu
 
mi nakereka pale mtu hakufikishi kileleni anabaki akinguruma ka simba mzee. I hate that kiukweliii
 
Wanaume wenyewe wasiojua kuchamba ukawapime tezi dume si utaharibu hali ya hewa chumbani?
Tunawavumilia mengi sana na sisi tungekua mavuvuzela kama nyie kusimulia mambo ya chumbani humu ingesaidia japo mjue kufua kufuli tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom