Hiki ni kitu kinachonikera sana wakati wa game, wewe ni kipi?

Wanaume wenyewe wasiojua kuchamba ukawapime tezi dume si utaharibu hali ya hewa chumbani?
Tunawavumilia mengi sana na sisi tungekua mavuvuzela kama nyie kusimulia mambo ya chumbani humu ingesaidia japo mjue kufua kufuli tu.
Aww ! That's hurts..
 
Huyo ndio wa type yako...take it lady. We unafikiri kama umempata huyo mchafu wako anayechambia toilet paper basi ni kila mwanaume yuko hivyo?

Kwanza mpaka umpate/uwapate wa hivyo ina maana wewe ukoje? I doubt.....
 
Nakereka na Mwanamke mpo ndani ya mahaba au mgegedo halafu analeta irrelevant stories mfano mpo mahabani anakuambia habari za biashara,pesa n.k yaani hakuna romantic verse hata 1 na wakati yeye ni mpenzi na sio kahaba la kununua.
 
Pale napokuwa na mtoto mzuri kwenye uwanja wa 6 by 6. Mimi nakomaa kumpiga romance za hapa na pale huwa fresh lakini pale tu anapopeleka mikono yake maeneo ya makalio yangu hamu huwa inaisha na kuingiwa na hofu, anaweza kunipima tezi dume, akanitoa bikra yangu bure. ile sehemu yangu ni sacred ambayo haitakiwi kuguswa kwa namna yoyote ile na babe. Iweje unishike makalio babe?
Nifanyie yote lakini huko hapana!!!
Wewe je mwenzangu wapi ukiguswa hamu inakata???
Hujui mapenzi ww
 
Acha uoga kaka mpe uhuru maana kunako game mtu ujikuta anashika popote..jiamin mana sizan kama anaweza Fanya tofauti na matakwa ni njonjo tu.
 
YANI MI NAOGOPA MWANAUME MCHEPUKAJI KA BOMU LA NYUKLIA...KILA MWANAUME ANACHEPUKA NA MIUKIMWI YOTE HII KILA KONA.!! BORA NBAKI PK ANGU..

Easy Easy!

Hauna sababu ya kuogopa my dea hakuna uhusiano wowote kati ya kuchepuka na ukimwi kuna kitu unachanganya hapo ukimwi upo hata kwa wasiochepuka na watoto wasiojua chochote!
 
Hamna kitu nacho ogopa kama hicho kuna siku kilinitoke hee niliruka bado kidogo nimpige ngumi na kingine ambacho sipendi pale napo taka turudie round nyingine anasema amechoka.
 
Siku nyingine mkimaliza round1 fungua wallet mpe hela, uone kama round2 atasema amechoka
 
Pale napokuwa na mtoto mzuri kwenye uwanja wa 6 by 6. Mimi nakomaa kumpiga romance za hapa na pale huwa fresh lakini pale tu anapopeleka mikono yake maeneo ya makalio yangu hamu huwa inaisha na kuingiwa na hofu, anaweza kunipima tezi dume, akanitoa bikra yangu bure. ile sehemu yangu ni sacred ambayo haitakiwi kuguswa kwa namna yoyote ile na babe. Iweje unishike makalio babe?
Nifanyie yote lakini huko hapana!!!
Wewe je mwenzangu wapi ukiguswa hamu inakata???
Aiseeeh mimi sipendi vyote, napenda kushika makalio tu tena naenjoy zaidi ukiresist
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom