Hiki ni kiswanglish au?

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
Jaman ambao mpo vizuri kwenye ngeli naombeni msaada hapa! Je kuweka "ki" na "wa" uzungumzapo kingereza ni sahihi mfano 1."I speak kiswahili" 2."wasukuma is the tribe found in northern Tanzania". Je "ki" na "wa" zilivyotumika ni sahihi? Mana wengine husema sahihi au wengine si sahihi naomba niwekeni sawa hapo.
 
Back
Top Bottom