Hiki ni cha kidigital

Hiki ni cha kidigital

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
article-2644981-1E5D825C00000578-308_634x286.jpg
 
hii ndo ile jk alituahidi kanda ya ziwa
 
Hapo mbele imekaa kama mouse ya komputa,iko safi sana
 
Eee Mungu mwenye upendo! Nakuomba uiwezeshe nchi yangu Tanzania kuweka hiki chombo kwenye reli ya kati, Dar-Kigoma.

Mungu mwenye upendo! Nakuomba uiwezeshe nchi yangu Tanzania kuimarisha ufisadi wa Escrow, IPTL na isiwezekane katu kuweka hiki chombo kwenye reli ya kati, Dar-Kigoma
 
Eee Mungu mwenye upendo! Nakuomba uiwezeshe nchi yangu Tanzania kuweka hiki chombo kwenye reli ya kati, Dar-Kigoma.

tupo kwenye mpango mkakati.. lengo letu la kwanza ni kuigeuza kigoma kuwa Dubai.
 
Ooyoo hii labda kwa serikari tatu na kwa hii mbili labda mwishoni mwa dunia kuisha maana uchafu tu unatushinda barabarani kuzoa na sijui hii tena ya uchafu atapewa mchina kuzoa maana kila kitu ni mchina na mwisho hata hizo ndoa watakuwa wanafungesha wao
 
Back
Top Bottom