Hiki ndicho hamas walichokiachia Gaza

Huwa una majibu ya kijinga sana.
 
Kama sababu ni kupigania ardhi yao acha wafe,huwezi kuishi katika ardhi yako hata kudrill kisima Cha maji lazima ukaombe kibali Cha Israel,maji system ya Israel huruhusiwi kuchota zaidi ya Lita 60 umeme unatoka Israel akijisikia azime na maji akate msimuulize kwanini huruhusiwi kutoka hapo Gaza kwenda nje ya nchi au ukingo wa magharibi bila kibali Cha Israel,kwenye uvuvi hurusiwi kuvua zaidi ya km 15 ikizidi 20 na mkivuka risasi za kwenu muda huohuo juzi tu hapa kasema sipo tayari kuona taifa la palestina linaanzishwa Bado utegemee vita hiyo kuisha na mtakuwa wa wajinga kiwango Cha standard gauge kufanyiwa dhulma hiyo huku mkifurahia Kisa kuogopa kupigwa mabomu,chanzo Cha hamas kutaka uhuru wao wa kiuchumi na kijamii huwezi kuishi huku unapangiwa uishije ndani ya ardhi yako,wapalestina Wana mashamba ya mitini na zeytun Kila Leo tunasikia mashamba yanafyekwa na nyumba kubomolewa ili pajengwe makazi ya walowezi wa kiisrael katika ardhi yao sisi tupo kimya ila mpalestina akichoka aamue kujitetea kurusha makombora anaitwa gaidi,hesabu fupi pata ramani ya mwaka 1912 palestina ilikuwaje baada ya hapo pata ramani ya mwaka 1948 wakati taifa la Israel linaanzishwa ilikuwaje na ukilinganisha na ya sasa Kisha jiulize sababu ni Nini kupelekea yote hayo na je hamas wanakosea kupigana Kwa silaha duni walizonazo ukipata jibu chagua upande,hakuna mgogoro wa ardhi unaofika mwisho ukihusisha taifa wataua mpaka mayai ya wapalestina lkn Kuna siku huwenda hayupo haki yao itapatikana.
 
Endelea kujifariji fariji tu lakini makosa makubwa yalifanywa na Israel walipojiondoa Gaza na huko Judea na Samaria( West-Bank) wakaachia Manyani ambao waliweza kufanya unyama wa kutisha Oct 07,2023.

mnamo 2005 chini ya mpango wa "Disengagement Plan" ulioongozwa na Waziri Mkuu wa wakati huo Ariel Sharon walifanya kosa la kimkakati kwa kuiachia Gaza kwenye utawala wa Manyani

Hapo ndipo Israel walipofanya kosa la kimkakati na ndicho kilichoifanya Gaza iwe hivyo ilivyo hata ikijengwa upya magorofa hayo hayatakuwa chini ya vibaka hao unaowafagilia wewe leo.
 
Tatizo viongozi wao wanaaka Good life! ili kuendeleza their Good life wanashawishi Wanaowaongoza kuwa jeuri kwa ban Israel! Raia wao wanakomaa na Ban Israel! Israel wakiwa wanakomaa na Raia! Ikulu nzima ipo Dubai na 😃wanabaki wafia chama na dini ya myaazi Mungu! Ban Israel wao awana dini wana UN terms! Wana piga mizinga 😭
 
Awatoiachia tena milelle
 
Inaumiza mnooo mkuu
 

Hawakufanya makosa kuondoka, waliondoka kimkakati ili kuiwekea Gaza blockade kutoka nje, na kuwaweka kwenye concentration camp. Lengo ni kuua morale kabla ya kuwainvade na kuwafrustrate mpaka wagaza wakimbie hilo eneo. Pia ilikuwa ni tecnich ya kuizuga dunia kuwa wanataka amani, maana waliondoka Gaza ila at the same time wakajenga settlements nyingi zaidi west bank
 
Nilijua tu utajitoa ufahamu usijue nini kilifanyika Oct 07,2023 na ulivyo Zwazwa hata hujui kuna wayahudi 1,200 waliuwawa na wengine 251 walitekwa nyara. Vita vinavyoendelea leo leo ni katika juhudi za Israel kutaka mateka wake warudishwe lakini kwa sababu wewe ni Zuzu hayo huyajui. Pole sana kwa ujinga huo!!!
 
ISRAEL KAMWE awatowai kuishi kwa Aman Sababu Aman ni mpango wa Mungu Sasa taifa linakumbatia Usodoma !!!

unategemea lipate Aman kutoka wapi maisha yote ni Vita Ukiacha Wapalestina ata wenyewe kwa wenyewe ndani ya Israel kuna matatizo kama yote!!!!

ukiacha propaganda Ukweli maisha ni tete ndani ya Israel,,
 

Wapo kwenye Sherehee za Usodoma apo wanawaita Taifa teule!!

mm sinaga meneno tupu!!! Ww ndio utajibu maneno matupu !!!!

unategemea wawe na Aman kama Iran au Tanzania uku wanamkosea Mungu kwa kiwango icho!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…