Hiki ndicho hamas walichokiachia Gaza

Hiki ndicho hamas walichokiachia Gaza

V
Freedom and self determination is better than maghorofa.

Ukiwa na Freedom na uwezo wa kudetermine future yako utaweza kujenga maghorofa kama hayo, kuyavunja ukitaka na kujenga yaliyobora zaidi. Ndiyo maana Kariakoo ya mwaka 1930 siyo kariakoo ya mwaka 2025, na kariakoo ya mwaka 2025 haitokuwa sawa na ya mwaka 2100.

Kwa hiyo usisumbuke sana na hiyo migorofa kuangushwa, sumbuka na occupation inayowanyima wapalestina self determination.

By the way Wapalestina wana gesi nyingi hapo ktk mwambao wa gaza ambayo wakiwa huru wana uwezo wa kupata hela kujenga hiyo migorofa yote ndani ya muda mfupi tu.
Vita haitaisha kwa sababu ya gesi hiyo
 
ISRAEL KAMWE awatowai kuishi kwa Aman Sababu Aman ni mpango wa Mungu Sasa taifa linakumbatia Usodoma !!!

unategemea lipate Aman kutoka wapi maisha yote ni Vita Ukiacha Wapalestina ata wenyewe kwa wenyewe ndani ya Israel kuna matatizo kama yote!!!!

ukiacha propaganda Ukweli maisha ni tete ndani ya Israel,,
Angalia uchumi wa Israel huwezi linganisha na maJirani zake hata huyo Bwana wenu Iran hawezi kuufikia uchumi wa Israel.
Je wajua Shekel 1 ya Israel ni sawa na Shillingi ngapi za Tanzania? Au uliza Pesa ya Iran na Israel ipi Iko juu. Hapa ndipo utajua maisha yako wewe kapuku ni tete!!
 
Back
Top Bottom