Huwa una majibu ya kijinga sana.Walikuja na Meli kutoka Ulaya awa ndio MAGAIDI wakuu kufatana na Sheria zote za kimataifa !!!!
Vip utoke Ulaya uje Uwauwe wenyeji kwenye miji yao na kupora Ardhi yao na eti Uwaite wenyeji MAGAIDI !!!!
Umewafata ww maeneo yao naww ndio unatwambia awa Magaid uku ukichukua Ardhi zao RIP Nelson Mandela pia mlimwita GAID ndani ya Ardhi yake!!!
lkn sisi sio wajinga tulipinga!!
leo ni mpumbavu tu asie na Akili na asie na Mungu kwenye Nafsi yake ndio atawaita Wenyeji ni Magaid !!!
na Mzungu mvamizi ndio mwenye haki !!.¿¿¿
mtu kama uyu kafuga Shetani moyoni mwake akidhani ni Mungu lkn matendo yake niwazi yupo n Shetani ndio anamuongoza kutenda kinyume na Haki!!!!!
Picha iyo chini Mataga wa Kizungu wakiamia kwenye Ardhi ya wenyeji Wapalestina
leo wanawauwa wenyeji na kupora Ardhi yao na kuwapa Majina mabaya eti wenyeji Magaid naww unawaunga mkono
View attachment 3352451
Endelea kujifariji fariji tu lakini makosa makubwa yalifanywa na Israel walipojiondoa Gaza na huko Judea na Samaria( West-Bank) wakaachia Manyani ambao waliweza kufanya unyama wa kutisha Oct 07,2023.Freedom and self determination is better than maghorofa.
Ukiwa na Freedom na uwezo wa kudetermine future yako utaweza kujenga maghorofa kama hayo, kuyavunja ukitaka na kujenga yaliyobora zaidi. Ndiyo maana Kariakoo ya mwaka 1930 siyo kariakoo ya mwaka 2025, na kariakoo ya mwaka 2025 haitokuwa sawa na ya mwaka 2100.
Kwa hiyo usisumbuke sana na hiyo migorofa kuangushwa, sumbuka na occupation inayowanyima wapalestina self determination.
By the way Wapalestina wana gesi nyingi hapo ktk mwambao wa gaza ambayo wakiwa huru wana uwezo wa kupata hela kujenga hiyo migorofa yote ndani ya muda mfupi tu.
Wewe umekula Maharage ya jana ndiyo maana unabwabwaja sana!!MAJENGO YAMEUAWA JAPO HAMAS BADO WAPO.
Tatizo viongozi wao wanaaka Good life! ili kuendeleza their Good life wanashawishi Wanaowaongoza kuwa jeuri kwa ban Israel! Raia wao wanakomaa na Ban Israel! Israel wakiwa wanakomaa na Raia! Ikulu nzima ipo Dubai na 😃wanabaki wafia chama na dini ya myaazi Mungu! Ban Israel wao awana dini wana UN terms! Wana piga mizinga 😭
Awatoiachia tena milelleEndelea kujifariji fariji tu lakini makosa makubwa yalifanywa na Israel walipojiondoa Gaza na huko Judea na Samaria( West-Bank) wakaachia Manyani ambao waliweza kufanya unyama wa kutisha Oct 07,2023.
mnamo 2005 chini ya mpango wa "Disengagement Plan" ulioongozwa na Waziri Mkuu wa wakati huo Ariel Sharon walifanya kosa la kimkakati kwa kuiachia Gaza kwenye utawala wa Manyani
Hapo ndipo Israel walipofanya kosa la kimkakati na ndicho kilichoifanya Gaza iwe hivyo ilivyo hata ikijengwa upya magorofa hayo hayatakuwa chini ya vibaka hao unaowafagilia wewe leo.
Inaumiza mnooo mkuuTatizo viongozi wao wanaaka Good life! ili kuendeleza their Good life wanashawishi Wanaowaongoza kuwa jeuri kwa ban Israel! Raia wao wanakomaa na Ban Israel! Israel wakiwa wanakomaa na Raia! Ikulu nzima ipo Dubai na 😃wanabaki wafia chama na dini ya myaazi Mungu! Ban Israel wao awana dini wana UN terms! Wana piga mizinga 😭
Endelea kujifariji fariji tu lakini makosa makubwa yalifanywa na Israel walipojiondoa Gaza na huko Judea na Samaria( West-Bank) wakaachia Manyani ambao waliweza kufanya unyama wa kutisha Oct 07,2023.
mnamo 2005 chini ya mpango wa "Disengagement Plan" ulioongozwa na Waziri Mkuu wa wakati huo Ariel Sharon walifanya kosa la kimkakati kwa kuiachia Gaza kwenye utawala wa Manyani
Hapo ndipo Israel walipofanya kosa la kimkakati na ndicho kilichoifanya Gaza iwe hivyo ilivyo hata ikijengwa upya magorofa hayo hayatakuwa chini ya vibaka hao unaowafagilia wewe leo.
inatakiwa raia wa Gaza wajiamlie wenyewe! Vinginevyo Israel watawafack tu kilo kukichaInaumiza mnooo mkuu
Bangi ni tatizo haswa ikivutwa kisirisiriWewe umekula Maharage ya jana ndiyo maana unabwabwaja sana!!
Nilijua tu utajitoa ufahamu usijue nini kilifanyika Oct 07,2023 na ulivyo Zwazwa hata hujui kuna wayahudi 1,200 waliuwawa na wengine 251 walitekwa nyara. Vita vinavyoendelea leo leo ni katika juhudi za Israel kutaka mateka wake warudishwe lakini kwa sababu wewe ni Zuzu hayo huyajui. Pole sana kwa ujinga huo!!!Hawakufanya makosa kuondoka, waliondoka kimkakati ili kuiwekea Gaza blockade kutoka nje, na kuwaweka kwenye concentration camp. Lengo ni kuua morale kabla ya kuwainvade na kuwafrustrate mpaka wagaza wakimbie hilo eneo. Pia ilikuwa ni tecnich ya kuizuga dunia kuwa wanataka amani, maana waliondoka Gaza ila at the same time wakajenga settlements nyingi zaidi west bank