Hiki ndicho hamas walichokiachia Gaza

Walikuja na Meli kutoka Ulaya awa ndio MAGAIDI wakuu kufatana na Sheria zote za kimataifa !!!!

Vip utoke Ulaya uje Uwauwe wenyeji kwenye miji yao na kupora Ardhi yao na eti Uwaite wenyeji MAGAIDI !!!!

Umewafata ww maeneo yao naww ndio unatwambia awa Magaid uku ukichukua Ardhi zao RIP Nelson Mandela pia mlimwita GAID ndani ya Ardhi yake!!!

lkn sisi sio wajinga tulipinga!!

leo ni mpumbavu tu asie na Akili na asie na Mungu kwenye Nafsi yake ndio atawaita Wenyeji ni Magaid !!!

na Mzungu mvamizi ndio mwenye haki !!.¿¿¿

mtu kama uyu kafuga Shetani moyoni mwake akidhani ni Mungu lkn matendo yake niwazi yupo n Shetani ndio anamuongoza kutenda kinyume na Haki!!!!!

Picha iyo chini Mataga wa Kizungu wakiamia kwenye Ardhi ya wenyeji Wapalestina

leo wanawauwa wenyeji na kupora Ardhi yao na kuwapa Majina mabaya eti wenyeji Magaid naww unawaunga mkono
 
Kobazi watasema hamas ndio wanaume,ila vijamaa vina mtindio wa ubongo sio bure.
Kushangilia vita nje ya vita ni raha ila aliyeko kwenye vita kiukweli ni majonz makuu. Mi naumia zaid juu ya watoto. Na ukiangalia hii vita palestina wanazid kupoteza. Kule west bank jews washachukua vijiji kibao hapo Gaza washasema hawatapaachia tena.
 
Hilo ni somo kubwa kwa vizazi vya Palestina.
Hata watoto wamejifunza Israel ni katili na hafai.
Wameona Kwa macho kwahiyo mapambano yataendelea hata baada ya miaka 50.
Hawajifunzi historia, wanaishi historia hivyo Hamas wapo sawa.
They keep the fire burning. Sio kama sisi kelele kidogo tunapigwa tukio tunasahau ya Jana.
 
Freedom and self determination is better than maghorofa.

Ukiwa na Freedom na uwezo wa kudetermine future yako utaweza kujenga maghorofa kama hayo, kuyavunja ukitaka na kujenga yaliyobora zaidi. Ndiyo maana Kariakoo ya mwaka 1930 siyo kariakoo ya mwaka 2025, na kariakoo ya mwaka 2025 haitokuwa sawa na ya mwaka 2100.

Kwa hiyo usisumbuke sana na hiyo migorofa kuangushwa, sumbuka na occupation inayowanyima wapalestina self determination.

By the way Wapalestina wana gesi nyingi hapo ktk mwambao wa gaza ambayo wakiwa huru wana uwezo wa kupata hela kujenga hiyo migorofa yote ndani ya muda mfupi tu.
 
Na wewe na mipicha yako Uchwara kila siku Una post hata hujui maana yake!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…