Hiki ndicho cheti changu cha form four

vp na kwenye ndoa unapata hizo AAAAAAAA?
 
Thermometer ina degree 100 na kazi yake inaishia kwapani tu.

Leo nimekudharau sana sikujuwa kama wewe ni mjinga kiasi hiki.

Bakhressa na Billgates wana hata degree?
Mkuu huyo bill Gate hela kwa kiasi kikubwa ameiwekeza kwenye kutatua matatizo ya kijamii kupitia Elimu, tafiti za kisayansi kwake kusoma ni muhimu sana
 
Mkuu ni kweli, kila jambo na wakati wake. Soka la Ulaya limetawala akili za baadhi ya wanafunzi siku hizi, wanawafahamu timu, matokeo, wachezaji hadi umri na wake zao. Kuchanganya na hizi kamari (mikeka) wanajiona wamefika.
 
Bahati mbaya mademu huwa sipendi sana
 
Elimu yetu haitujengi kwaajili ya kujiajiri..na hakuna tajiri duniani aliepata utajiri kwa kusoma sana.
 
Nilipata f tatu zingine d ila na uhakika kabisa kwenye kumiliki pesa utakuja kunifikia cku nikifa hapo pia cjui kwa sababu nishaengeneza msingi wa kuziendeleza nikiondoka miongoni mwa watanzania wenye maisha nafuu sikosi top 50
 
Hongera kwa juhudi zako.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…