Hiki kituo cha redio majanga!

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,456
1,563
Natumaini hajambo wote!
Kuna kituo cha redio pale Njombe ambacho kinafahamika kama uplandsfm kimekuwa kinatuma sms kwenye simu yangu kwa siku ya tatu sasa na kukata tsh 130,kupitia namba 1556,
kila sms ikiingia inakuwa na jina la kituo tajwa hapo juu.zoe hili kwangu limeanza mwishoni mwa mwezi huu wa sita.
Mwaka 2011 jamaa yangu alitumia simu yangu kutuma sms katika kituo hicho katika mada ambayo siikumbuki vizuri.toka pale namba yangu haijawahi kutumika tena katika kituo hicho.
Nimejaribu kutuma neno ondoa kwenda namba 15577 imeshindikana,je nilikosea namba?naombeni msaada namna ya kujiondoa jamani
kama wapo wengine humu wataendelea kutoa ushahidi.
NB:sio kwamba nilijiunga na hiyo huduma laa hasha.
Hii ni hujuma na wizi pia naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom