- Thread starter
- #21
Duu sawa mkuuWakati anasikia kukojoa mpe kopo akojolee labda anaogopa kukojolea kitandani!!
Duu sawa mkuuWakati anasikia kukojoa mpe kopo akojolee labda anaogopa kukojolea kitandani!!
Asante mkuuNdiyo mwili wake ulivyo si unajua wanawake hawafanani katika miondoko ya kimapenzi.
Fanya kugoogle hivi
" feeling like to ejaculate but not in women "
Hata kiswahili andika
" kuhisi kukojoa wakati wa faragha kwa mwanamke "
Siku hizi watu kukupa ushauri ni ngumu ingia mitandaoni na ufanye utafiti wa kina.
Ku cum ni nin?ASA mkojo si ndo wanaita Ku cum au
mambo ya kitoto hutokeaWatoto wanapokutana
Sawa ,nitatoa mrejesho siku ikitokeaInaonekan ww ni mgeni kwelkwel ishu hiz, cku ukipiga ishu dogo mwambie akojoe tu wala hauna noma... Af uje utupe mrejesho.
Hayumo jfMwite huyo mdada jukwaani ashauriwe