Wakubwa heshime kwenu naomba niende moja kwenye mada mimi ni kijana nina umri usiozidi miaka 20 Nina mpenz na tuko kweny mahusiano kwa muda wa miezi 7 sasa. Na huyu ndio mpenz wangu wa kwanza ,sikuwahi jihusisha na mapenzi hapo awali.
Kifupi sijui ladha ya papuchi nyingini yoyote tafauti na ya huyu mpenzi wangu jambo linalo nitatiza ni kwamba tunapokua kwenye game kuna wakati inafika hatua anasema anahisi "mkojo" anahisi jukojoa kabisa (Si kufika kileleni) Siku zote akihisi iyo hari anasimamisha game na kubadili style.
Hii hali imetokea zaid ya mara tano , nilisha jaribu kumwambia akisikia hiyo hari awe huru tu ila hataki.
Wakubwa nimekuja kwenu kuuliza hii kitu ni nin haswa naombeni ufafanuzi tafadhari na ushauri pia kama ni tatizo cha kuongezea labda kitasaidia kunishauri vizuri# huyu binti tulitoleana bikra wote sikuwahi kukutn na mwanamke kabla naye alikua bikra
Asanteni [emoji120]