Hiki kitu najiuliza sana

Uhuru24

JF-Expert Member
May 2, 2015
4,053
4,297
Kwann kwenye mchezo wa poortable token nyeupe haikwami kama nyingine?????Mwenye kujua hiki jamani.
 
Token nyeupe ni ndogo kuliko nyingine zote. Pale mwanzo nyingine zinakoendaga kujipanga pana tundu ambalo token nyeupe kutokana na size yake hutumbukia kwa kuwa ni ndogo kuliko zile nyingine. Zile nyingine zinapita. Ukiangalia kwa macho unaweza dhani token zote zinalingana ila sivyo
 
WEKA PICHA
 
Back
Top Bottom