Hiki kisasi nimekipenda

Duh!! hatari na nusu huyoo aliechukua video alijua kuna ajali itatokea?

Kuna dash cam za magari. Unaipachika hapo mbele kwenye dashboard na inarecord view yote ya mbele.

Ni kwaajili ya security, au pia husaidia ushahidi pindi umesababishiwa ajali barabarani mfano mtu amekuovertake na kukuchomekea kihuni kwa mbele, n.k

Zipo pia za kufunga nyuma ili irecord view ya nyuma while driving.

-Kaveli-
 
40eb5e0d2bd0ebd839088e4938f87ef1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom