Hiki Kinachoendelea UDOM Tunakijua sote?

Status
Not open for further replies.

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,179
1,500
Nilipokuwa nabadilishana mawazo juu ya Elimu ya juu nchini nilipatwa na mshtuko niliposikia kuwa chuo chetu cha UDOM kinapigia chapuo udini!

mm binafsi sina shida na watu walio na dini zao, lakini nina shida kubwa sana kutumia kigezo cha dini katika kupata Ajira, Uongozi chuoni nk. Hii ilinishtua sana nilisikia kuwa asilimia 90 ya walio pata ajira kipindi hiki ni watu wa dini fulani (sipendi kutaja kwa sababu za kujiepusha na ubaguzi). Sina tatizo hata kidogo hata kama wangeajiri wote wa dini moja, lakini inapokuwa kigezo kimojawapo ni dini... hii inaleta mushkeni kwenye masikio ya wasikiao.

Pamoja na haya ni mwaka jana tuu ulipofanyika uchaguzi wa viongozi wa wanafunzi... udini ulitawala sana uchaguzi ule (chanzo cha habari kinaeleza). Na cha kusikitisha viongozi wa chuo hawakuchukua hatua za kuridhisha kwani hata zilipatikana na recording za vikao vya siri sana juu ya kupanga mkakati wa kuhakikisha dini moja inashika sehemu nyeti za uongozi... Jamani kwani hawa si watanzania wanapenda kuongozwa na wamtakaye. kwa nini uongozi wa dini uingilie uchaguzi wa wanafunzi worthy kuijadili hoja hii, kwani hali hii inakitafuna chuo chetu.

Hivi ni kweli kuwa hata kila flat/storey kuna msikiti? jamani lets be serious. Nilishindwa kuamini niliposikia habari hii ilinistua sana! Ndugu zetu wantaifa hili tuache kulea tatizo hili! tuwe wamoja kama tulivyokuwa awali

Pia eti Waalimu wa sayansi ni wahindi -from India. Kweli hatuna watanzania wenye qualification kwa ajili ya kufundisha? haa eti hata mwalimu wa Biodiversity ni Mrusi... eeehhh!! (from Russia). Hiki ni kitengo cha Elimu. Na mkuu wa Chuo anawaahidi wanafunzi kuwa bado kuna walalim oversees watakuja soon!!!

Ole ole Tanzania!
 
Makala Jr

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,395
1,195
Ndo mjifunze maana ya ccm na propaganda za udini,wachunguze viongozi wa serikali ya wanafunzi na utakapojua asilimia kubwa ni wanachama wa chama cha zamani,basi fanya maamuzi yako binafsi.
 
Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,648
1,225
CCM iliyosheheni propaganda za udini mnaiweka madarakani wenyewe miaka nenda rudi! Kulalamika tu bila kuchukua hatua ni kazi bure!!!
 
Sep 12, 2012
16
0
UDOM-Daima kitabaki chuo cha CCM, chuo chenyeye cha kichinachina, majengo hata hayajamaliza miaka 5 yameanza kubomoka! na mkumbuke kuna tetesi Gadaff anahusika na hicho chuo ila wezi wa pembe za ndovu hawataki tu kusema. Ukiongozwa na mtu anaeyeendekeza udini ujue haufiki popote.
Hongereni sana CCM kwa kutuletea shule za kata, vyuo vya kata, hospital za kata. Mlitaka kuibomoa UDSM ila mmeshidwa wahadhiri wameanza kujirudisha wenyewe
 
Makala Jr

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,395
1,195
Head teacher said:
Cku hizi ukiomba kazi na mzanzibar hata kama ni kilaza, atachukuliwa, wewe utaachwa...>>> vipi ukiwa mpenzi wa siasa za upinzani?
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,863
2,000
Kama hii ni kweli basi ni balaa. Wahusika wajue kuwa elimu haina dini. Ni vizuri tujione kama watanzania kwanza kabla ya wadini. Udini ni upuuzi wa kawaida unaoweza kufanywa na watu wasio na elimu ya kutosha au ambao si competent kwenye eneo wanalofanyia huu upuuuzi. Shame on them!
 
Kailanga

Senior Member
Jun 24, 2012
146
0
udom udini upo ni jambo lililo wazi kwa yeyote aliepita hapo, mwaka jana kuna mwanafunzi alinusurika kuuwawa na baadhi ya maustadhi wa pale chuo, kosa lake ni kurekodi kwa siri kikao kilichokuwa kinapanga mbinu za kuwezesha waislam kushika chuo kizima, habari hii hata yule wa magogoni anaijua ila anasubili watu wafe ili aje kutoa rambi rambi!
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,302
2,000
Jamani si mlisema Wakufunzi watagoma kwa ajili ya uDINI mbona kimya
sasa habari za UDOM sitaziamini tena gangamaleni, km Makanisa na kwaya hata hapo UDOM vipomsitengane kwani juzi tu wanachuo 6700 wametunukiwa Degree na ndio waliokuwa katika hatihati za migomo lakini wamevuka
 
Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
618
250
Nilipokuwa nabadilishana mawazo juu ya Elimu ya juu nchini nilipatwa na mshtuko niliposikia kuwa chuo chetu cha UDOM kinapigia chapuo udini!

mm binafsi sina shida na watu walio na dini zao, lakini nina shida kubwa sana kutumia kigezo cha dini katika kupata Ajira, Uongozi chuoni nk. Hii ilinishtua sana nilisikia kuwa asilimia 90 ya walio pata ajira kipindi hiki ni watu wa dini fulani (sipendi kutaja kwa sababu za kujiepusha na ubaguzi). Sina tatizo hata kidogo hata kama wangeajiri wote wa dini moja, lakini inapokuwa kigezo kimojawapo ni dini... hii inaleta mushkeni kwenye masikio ya wasikiao.

Pamoja na haya ni mwaka jana tuu ulipofanyika uchaguzi wa viongozi wa wanafunzi... udini ulitawala sana uchaguzi ule (chanzo cha habari kinaeleza). Na cha kusikitisha viongozi wa chuo hawakuchukua hatua za kuridhisha kwani hata zilipatikana na recording za vikao vya siri sana juu ya kupanga mkakati wa kuhakikisha dini moja inashika sehemu nyeti za uongozi... Jamani kwani hawa si watanzania wanapenda kuongozwa na wamtakaye. kwa nini uongozi wa dini uingilie uchaguzi wa wanafunzi worthy kuijadili hoja hii, kwani hali hii inakitafuna chuo chetu.

Hivi ni kweli kuwa hata kila flat/storey kuna msikiti? jamani lets be serious. Nilishindwa kuamini niliposikia habari hii ilinistua sana! Ndugu zetu wantaifa hili tuache kulea tatizo hili! tuwe wamoja kama tulivyokuwa awali

Pia eti Waalimu wa sayansi ni wahindi -from India. Kweli hatuna watanzania wenye qualification kwa ajili ya kufundisha? haa eti hata mwalimu wa Biodiversity ni Mrusi... eeehhh!! (from Russia). Hiki ni kitengo cha Elimu. Na mkuu wa Chuo anawaahidi wanafunzi kuwa bado kuna walalim oversees watakuja soon!!!

Ole ole Tanzania!
Hapo kwenye RED mbona umeshaitaja dini yenyewe?
 
solution

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
493
195
Kama hiyo ndiyo expression ya Professors, PhD, Masters ..The Top IQ of the nation ...why go to school then!!

Something is missing here ...tel me please and let know where gonna get it if the University has failed to produce it!!!
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom