Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,184
- 259
Nilipokuwa nabadilishana mawazo juu ya Elimu ya juu nchini nilipatwa na mshtuko niliposikia kuwa chuo chetu cha UDOM kinapigia chapuo udini!
mm binafsi sina shida na watu walio na dini zao, lakini nina shida kubwa sana kutumia kigezo cha dini katika kupata Ajira, Uongozi chuoni nk. Hii ilinishtua sana nilisikia kuwa asilimia 90 ya walio pata ajira kipindi hiki ni watu wa dini fulani (sipendi kutaja kwa sababu za kujiepusha na ubaguzi). Sina tatizo hata kidogo hata kama wangeajiri wote wa dini moja, lakini inapokuwa kigezo kimojawapo ni dini... hii inaleta mushkeni kwenye masikio ya wasikiao.
Pamoja na haya ni mwaka jana tuu ulipofanyika uchaguzi wa viongozi wa wanafunzi... udini ulitawala sana uchaguzi ule (chanzo cha habari kinaeleza). Na cha kusikitisha viongozi wa chuo hawakuchukua hatua za kuridhisha kwani hata zilipatikana na recording za vikao vya siri sana juu ya kupanga mkakati wa kuhakikisha dini moja inashika sehemu nyeti za uongozi... Jamani kwani hawa si watanzania wanapenda kuongozwa na wamtakaye. kwa nini uongozi wa dini uingilie uchaguzi wa wanafunzi worthy kuijadili hoja hii, kwani hali hii inakitafuna chuo chetu.
Hivi ni kweli kuwa hata kila flat/storey kuna msikiti? jamani lets be serious. Nilishindwa kuamini niliposikia habari hii ilinistua sana! Ndugu zetu wantaifa hili tuache kulea tatizo hili! tuwe wamoja kama tulivyokuwa awali
Pia eti Waalimu wa sayansi ni wahindi -from India. Kweli hatuna watanzania wenye qualification kwa ajili ya kufundisha? haa eti hata mwalimu wa Biodiversity ni Mrusi... eeehhh!! (from Russia). Hiki ni kitengo cha Elimu. Na mkuu wa Chuo anawaahidi wanafunzi kuwa bado kuna walalim oversees watakuja soon!!!
Ole ole Tanzania!