..zoom..zoom..Hebu fafanua kidogo nikivutie picha....kina fanana na guta? au kilikuu? kina matairi au ringi? je matairi yake ni meusi au meupe? kinatoa moshi na muungurumo au kinapiga za kimya kimya?
Hebu fafanua kidogo nikivutie picha....kina fanana na guta? au kilikuu? kina matairi au ringi? je matairi yake ni meusi au meupe? kinatoa moshi na muungurumo au kinapiga za kimya kimya?
Kuna kigari nakiona ona sana barabarani
ni pick up kina tairi la spare mbele
ni kama ni cha mtu mmoja tu anakiendesha kilivyo...
kidogo sana...
kuna anaejua ni kigari gani?
brand ipi?kikoje details?
Mi nimeviona TRA Ilala huwa vinapaki kwenye hilo jengo vina rangi ya kijani hivi.Ilala wapi?
vina tyre ya spare kwa mbele?
Funy watu wengi wanakiona but hawajui ni kigari gani..