Manunuzi usd 3000 brand new.. Kinaweza kufikq 15,000,000Wadau Hiki ki kigari mpaka kifike bongo itanicost sh ngap nataka nimnunulie wife aende nacho kazini
HakifikiHapo andaa milioni 22.8 hivi kwa uchache,,
Yani kigari hiki kama sandals 🩴 ndiyo kiwe milioni 22?Hapo andaa milioni 22.8 hivi kwa uchache,,
Khaa sasa kigari gani icho asee bora umnunulie ata tvs 125cc mpaka ajue kugonga gia utakuwa ushapata hela ya harrier anaconda.Wadau Hiki ki kigari mpaka kifike bongo itanicost sh ngap nataka nimnunulie wife aende nacho kazini
Dola 4,500/= kakifika utapambana na TRA tena.Wadau Hiki ki kigari mpaka kifike bongo itanicost sh ngap nataka nimnunulie wife aende nacho kazini




Baba Esta Luxury is typing…Wadau Hiki ki kigari mpaka kifike bongo itanicost sh ngap nataka nimnunulie wife aende nacho kazini