Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,541
- 41,290
Kigari cha kuchezea watoto hicho kitakua kipo Ali baba daah TRA wanatunyoosha tutakuja kuuzia magari ya mbao na Wachina wakati magari halisi tu sio bei shida NJ Kwao..
Cha kuhuzunisha ni kwamba mpaka leo Tanzania hatujaweza kuunda "toroli" kama hilo 😐Hiyo ni zarau kwa mkeo, hamna gari hapo hilo ni torori.
Kama huna hela bora uvumilie tu kugongewa kuliko kujikaza kuleta taka bongo.
Hayo matoroli watoto wa nursery huko china wanaunda wakiwa wanacheza shuleni kwao.
hawa jamaa pumbav sana utafikiri io gari wameitengeneza wao. wanataka kula ela pasu na mtengenezaji. mweusi ana shida mahali fulani haiwezekani aiseeJapani kanauzwa elfu sabini ako sema tra watataka kodi milioni saba![]()
Kipanya si anavitengeneza pale Sido Kipawa? Nenda kaweke order.Wadau Hiki ki kigari mpaka kifike bongo itanicost sh ngap nataka nimnunulie wife aende nacho kazini