Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,819
- 8,686
... mi umeniacha hoi pale unakuja na hii kitu ya ma'black holes na dark energy' si ndo nikaona we bro hufai! 😂 ile sehemu ya politics ilifichwa na hiyo 'black holes' ndo mana sikuona! ... all the same I hate very long lectures!That’s life people are not the same and it’s ok.
But them two are former politician they run a podcast named ‘the rest is politics’.
One is a former Tony Blair ‘political advisor’, the other is a former ‘SPY’ Tory MP and geopolitics analysts.
Kwa kifupi ni kwamba if you follow geopolitics, you get the U.K perspective (because there is national security bias on their analytics).
It’s long story, uchambuzi wa siasa; ndio maana watu kama sisi kueleweka humu JF ni ngumu. A majority siasa zenyewe hawazijui wala kufuatilia.
Sean Carrol, Brian Green; I am not even gonna waste my time explaining what they do kama unadhani mathematics is their specialty.
👋
Sawa Meja Jenerali wa Mburahati. Vipi ikitokea adui anakushambilia, utaendelea kusubiria muda hadi akumalize?Mkuu Kuna muda wa kustrke na muda wa kumlia timing adui.. Ukistrike majira mabaya unaumia
Unajilinda asiharibu zaidi, una kuimbia uka ji equip you can never win a loosing battleSawa Meja Jenerali wa Mburahati. Vipi ikitokea adui anakushambilia, utaendelea kusubiria muda hadi akumalize?
Hii game kuielewa ngum sana unatakiwa uwe deep sana!!Huwa una akili za kitoto sana za kusingizia wazungu.Ina maana Watanganyika hawana ufahamu wa kujua mema na mabaya?Hiyo aidha ni kuwadharau Watanganyika au akili zako ni finyu na hauwajui Watanganyika.
Stay safe!!nipo zangu kijijini napata raha huku!!Wapi nimesema nakukaribisha kwasababu ya maandamano
Unanilisha maneno?
I have no plans to join the protest, and I'm not willing to be used by the people you mentioned either.
I was simply intrigued by your comment, so I reached out
If you're interested, maybe we can go shopping together.😅
EnjoyStay safe!!nipo zangu kijijini napata raha huku!!
kijijini Kuna kila kitu!
🤣🤣🤣... sasa Muraa Weito mnataka kuzidisha tuchumvi jamaani, ... toka rini tena ng'wena imekuwa tena 'honey badger' jamaani?
😅
Heche alianza kufuatiliwa kitambo sana...
Inawezekana wafuatioiaji hawakujua mizizi ya undugu kati ya Heche na dereva wake...
CDM watafute simu ya marehemu... Wanyonye mawasiliano yote ndipo waikabidhi Polisi.