Ogopa Damu Mzee. Hata kama una akili timamu. Utaforsiwa kufanya mambo ya hovyo. Ili uzidi kujutia maishani na ukose AmaniKutuma salamu ndio kuchukua uhai wa mtu kirahisi hivi.
Hizi familia zetu za kiafrica ukishamuondoa ‘bread winner’ unaenda umiza watu wengi sana nyuma yake.
Somo la bure, hapa ni ‘ogopa sana kukabidhi, madaraka makubwa kwa wapuuzi’.
Surely hawa watu wangeweza kutimiza hazma yao ya kuiba na kuharibu nchi bila ya hizi senseless killings.
Kama una uwezo wa kuzuia mikutano kwa kutumia mamlaka yako vibaya. What do you aim to achieve kwa kuchukua maisha ya dereva zaidi ya ujinga tu.
So sad, ogopa sana watu wenye akili ndogo; kupewa mamlaka makubwa.
Vyombo vya usalama na ulinzi hii ilitakiwa risk analysis yao kabla ya kumpa Samia nchi.
Ni kama akae kwa tahadhari sana, anatafutwa kwa kila njiaSilazima nisalimu Wana jamvi.
Katika Hali ya kushangaza na kustaajabisha, ni Jana Tu alitoa kauli kuwa anafuatiliwa na wasiojulikana.Leo Dereva wake kafa..NI kuna ujumbe umetumwa kwake ama Vipi?
... ni kweli ameuwawa au mnatujaza tu kwa sababu za kisiasa? ... hatujaona hata picha moja ya hali ilivyokuwa chumbani kwa marehemu kutoka CHADEMA media, zaidi ya taarifa ya Polisi kwamba pamoja na mwili waliona dawa za binadam kibao!Kutuma salamu ndio kuchukua uhai wa mtu kirahisi hivi.
Hizi familia zetu za kiafrica ukishamuondoa ‘bread winner’ unaenda umiza watu wengi sana nyuma yake.
Somo la bure, hapa ni ‘ogopa sana kukabidhi, madaraka makubwa kwa wapuuzi’.
Surely hawa watu wangeweza kutimiza hazma yao ya kuiba na kuharibu nchi bila ya hizi senseless killings.
Kama una uwezo wa kuzuia mikutano kwa kutumia mamlaka yako vibaya. What do you aim to achieve kwa kuchukua maisha ya dereva zaidi ya ujinga tu.
So sad, ogopa sana watu wenye akili ndogo; kupewa mamlaka makubwa.
Vyombo vya usalama na ulinzi hii ilitakiwa risk analysis yao kabla ya kumpa Samia nchi.
Hata kama utaki kutuhumu watu (kuchukulia kifo kama jinai); basi polisi wanajukumu la ku-establish motive ya kifo if its ’suicide’ or ‘overdose’.... ni kweli ameuwawa au mnatujaza tu kwa sababu za kisiasa? ... hatujaona hata picha moja ya hali ilivyokuwa chumbani kwa marehemu kutoka CHADEMA media, zaidi ya taarifa ya Polisi kwamba pamoja na mwili waliona dawa za binadam kibao!
THAT'S WHERE THE WHOLE THING CRUMBLES!.
.
.
The whole thing is just pathetic.
Why would you kill a driver?
Probably, nonetheless I wouldn’t put blame on the side of the oppressed.THAT'S WHERE THE WHOLE THING CRUMBLES!
... somebody is working very hard to ignite this country once again!
... YOU HAVE CHOSEN A SIDE ALREADY! ... IT'S YOUR RIGHT THOUGH IT CURTAILS FURTHER FREE DISCUSSION! 😅Probably, nonetheless I wouldn’t put blame on the side of the oppressed.
Hii ni kazi ya MaCCM tu, hakuna watu wenye akili za hovyo kiasi hiki zaidi yao.
Rather you have chosen to blind yourself of what evil CCM is.... YOU HAVE CHOSEN A SIDE ALREADY! ... IT'S YOUR RIGHT THOUGH IT CURTAILS FURTHER FREE DISCUSSION! 😅
Silazima nisalimu Wana jamvi.
Katika Hali ya kushangaza na kustaajabisha, ni Jana Tu alitoa kauli kuwa anafuatiliwa na wasiojulikana.Leo Dereva wake kafa..NI kuna ujumbe umetumwa kwake ama Vipi?
... KARIBU SANA!Rather you have chosen to blind yourself of what evil CCM is.
No one with is right mind would take a life of an innocent driver; only CCM supporters/cadres can carry out such evil atrocity.
Huwa una akili za kitoto sana za kusingizia wazungu.Ina maana Watanganyika hawana ufahamu wa kujua mema na mabaya?Hiyo aidha ni kuwadharau Watanganyika au akili zako ni finyu na hauwajui Watanganyika.Maandamano sio njia sahihi!mnatumika chambo kufanikisha malengo ya USA, European union, Israel nanwengineo waliopoteza rasilimali muhimu kwa waarabu,wachina na warusi ili kumlinda mwenyekiti!!
Sasa nyie ni sehemu ya desert mission (mission nchi kavu)ili kifanikisha operation PJLK tuamini ni .......!!tusubiri!!?
Dah... KARIBU SANA!
View: https://youtu.be/zbDmVkYEl_Y
... KARIBU SANA!
View: https://youtu.be/zbDmVkYEl_Y
Anajua kila kitu USIMTETEE unataka kusema hasikii haya yanayo endelea, mbona kuhusu kibao alitoa press ya kifo ni kifo na yake ya oktoba aliyoa press ya nguvu iliyo tumika inaendana na yaliyo tokeo, huyo mama ni muuaji hajali kuhusu uhai wa watanganyika kabisaPengine mama analaumiwa sana ila huenda machawa ndo wanaribu taswira kwa hatua
Music is a universal language ... breaks age and national barriers!Dah
How old you?
Mie hata global hit songs sizijui leo. I know majuzi kulikuwa na BET awards, but then I don’t the categories nor who won what.
Yaani bora unitafutie documentary, lakini siwezi sikiliza huo upuuzi hata kama niko kwenye death bed na hiyo ndio dawa.Music is a universal language ... breaks age and national barriers!
I HOPE YOU WILL THANK ME FOR THE NEXT SONG:
View: https://youtu.be/laIvApB4YJ4?si=kXuOLXCHfmCMmAh-
I'M SCARED OF MATH MORE THAN I'M SCARED OF HEIGHTS! ... WE CAN'T SHARE A CUP OF TEA BRO!
View: https://m.youtube.com/watch?v=twyE7AKCzXs&pp=ygUUdGhlIHJlc3QgaXMgcG9saXRpY3M%3D&ra=m
View: https://m.youtube.com/watch?v=5uBBz0upYoY&pp=ygUMYnJpYW4gZ3JlZW5l&ra=m
View: https://m.youtube.com/watch?v=V82JWcOVwpc&pp=ygUMc2VhbiBjYXJyb2xs&ra=m
Hivyo ndio vitu ambavyo tunatuliza nazo akili; mimi na hayo makelele wapi na wapi.
That’s life people are not the same and it’s ok.I'M SCARED OF MATH MORE THAN I'M SCARED OF HEIGHTS! ... WE CAN'T SHARE A CUP OF TEA BRO!