Teh teh teh.
Yaani wanakondoo Wakanyagwe kabisa wakiingia humo na baba mchungaji!
Hatari sana.
Nani kakwambia mimi nina mpango wa kwenda mbinguni!sio sawa kukashifu dini za wenzako.we K,kumbuka dini haikupeleki mbinguni.
Naona upo mshabiki badala ya muumini. Just mind your own businesses brah
Wafuga majini hawaendi mbinguni.sio sawa kukashifu dini za wenzako.we K,kumbuka dini haikupeleki mbinguni.
Naona upo mshabiki badala ya muumini. Just mind your own businesses brah
je kingekua cha kiume kisingekuwa matusi,?Teh teh teh.
Yaani wanakondoo Wakanyagwe kabisa wakiingia humo na baba mchungaji!
Halafu kiatu cha kike! Yaani vitu vingine ni Matusi ya waziwazi kabisa.
Hatari sana.